Jaman wadau, nimejarbu kuwazaaa jinsi wanawake/mke wa kichagga anavyotuma kutafuta pesa lakin linapokuja suala la mahaba maujanja kama Binti wa KiTanga inakuwa Zero au 20% accurate performance.......yaan angekuwa full package........
Hvi ni wapi walikosea bibi zetu....... Au ndio kutokuwa na utamaduni wa mafunzo ya mautunduuuuu.......... Hahahaaaaa!??
BY DUME LA KICHAGGA