Wanawake mje mseme ukweli.

Mbona hujaweka Exceptioner.
Kuna ambao huvunja kanuni hizo
 
Vijana hamjielewi. Hamfahamu hata binaadam wakoje ili muweze kuishi maisha mazuri.

Mnahangaika sana lakini majibu yapo wazi kabisa.

Kila nnapoziona hizi post zenu ndipo nnazidi kuamini kuwa Uislam ni dini pekee ya kweli.w Kwa sababu, vigezo vyote vya maisha mema na kufurahia maisha vipo wazi kabisa katika Uislam. Someni.

La kwanza msizini na kufanya uasherati nje ya ndoa. Wangapi mnatimiza hilo?
 
Wewe unatimiza?

Thibitisha kwamba we we huzini

Uislam in lifestyle / utamaduni na desturi ya maisha ya kiarabu sio Dini.

Bisha nikupe ushahidi.


Wabillah Tawfiq,
 
Wewe unatimiza?

Thibitisha kwamba we we huzini

Uislam in lifestyle / utamaduni na desturi ya maisha ya kiarabu sio Dini.

Bisha nikupe ushahidi.


Wabillah Tawfiq,
Tatizo kubwa sana unaongea kabla hujajibu swali uliloulizwa. Unaacha tatizo lililo mbele yako unaanza kutafuta mambo ambayo wewe binafsi huna majibu nayo kwa kuwa tu umejazwa ujinga na umekujaa.

Mbona hayo yako yamejibuwa miaka 1,400 iliyopita, sema bahati mbaya tu wewe umejazwa ujinga badala ya kujazwa ukweli na ndiyo ukweli upo mbele ya macho lakini hayaoni. Masikio unayo lakini hayasikii ukweli.

Nna uhahika ulimuona mama'ko anazini ikawa ujinga umeshakuingia kuwa kila mtu anazini.

Hilo ulilonalo ni tatizo binafsi siyo la jamii. Hapa ni JamiiForums, nadhani hata maana yake huelewi.
 
Kibibi ajuza wetu jomoniii wa jf huyoooπŸ™ˆ...nimekumiss eti lolπŸ˜…πŸ˜…Asalaam Alaykhum
 
Muislam mnafiki sana weye bibi...!

Mnazini sana lakini mnaona vibanzi kwa wenzenu...sijui upo kwny mfungo UPI unahisia wenzio tu uzinzi.

Mudy ndio alianza kukujaza ujinga wa imani ya kukuta mabikira peponi

Yeye Mudy (25) aliolewa na Bi Khadija (40)...lakini tena akambaka mtoto Ayisha (9)...sasa bora mzinifu au mbakaji Muhammad wa Mecca?


Wabillah Tawfiq,
 

Kwamba waislam hamzini kabla ya ndoa??? Smh
 
Kwani Bible haijakataza hilo!?
 


Mkuu FaizaFoxy, Hata dini ya Kikristo inatoa mwangwi mzuri kwa vijana walio makini kupata furaha ya maisha.

Maswali unayoyaona humu ndani kuhusu mahusiano ya kimapenzi na Maisha kwa ujumla. Wengi wanaouliza ni vijana wasiokuwa na elimu yoyote ya dini iwe ni ya kikristo au Kiislamu.

Ukisoma Torati inatoa muongozo mzima wa maisha ya Mwanadamu ili apate kufurahi yeye na wanaomzunguka yakiwepo mazingira ya viumbe wengine.

Vijana wengi hawana maarifa makubwa ndio maana kutwa kucha kuhangaika na Masaibogi huko mitaani.

Kijana aliyefundishwa dini hasa ya maandiko sio porojo za viongozi wa dini huwezi mkuta akilalamika kuhusu Ulimwengu.

Nakuuliza Swali Bibie. Nawe ulibahatika Kuolewa Bikra kama wanawake wengine waliowatakatifu. Au nawe uliboronga ukamlisha Mumeo Makombo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…