Wanawake leo nawapeni siri za wanaume

Wanawake leo nawapeni siri za wanaume

MI NI MWANAUME LEO NAWAPA SIRI ZA MWANAUME Ambae Anataka Akuchezee Afu Akuache Yuko Ivi

1-Siku Yakwanza Mtapoenda Kufanya Ngono Atagalamia Kila Kitu, Ila Akisha Kukojolea2 Kisha We Ukaenda Nyumbani Hutaona Kakutumia Meseji Ata Kukuuliza Beby Umefika Salama" Mpaka Uanze Kumtafuta Wewe

2-Ukienda Kulala Namwanaume Kwake Afu Akakuamsha Asubuhi Sanaa Kabla Ya Watu Kuamka Ili Wasikuone Huyo AKUPENDI

3-Mwanaume Anae Kuhitaji USIKU Tu Huyo AKUPENDI

4-Ukiona Mwanaume Anakupitisha Njia Za Vichochoroni Huyo AKUPENDI

5-Ukiona Mwanaume Usiku Mzima Kakupiga Kabao Kamoja Tu Afu Akageukia Pembeni Hataki Ata Umguse Huyo AKUPENDI

6-MWANAUME Anae Kuhitaji Akiwa NA NYEGE TU, Huyo AKUPENDI

Ukiona Mwanaume Baada Ya Kufanya Mapenzi Nawewe Akasitisha Mawasiliano Nawewe Ata Mwezi, Afu Akaja Kukutumia Meseji "BEBY MBONA KIMYA IVYO" Ujue NYEGE Zimempanda Naamekosa Wakuzituliza Ndo Anakukumbuka WEWE, Huyo AKUPENDI

UKIONA MWANAUME MWENYE DALILI HIZI MWAMBIE APITE KUSHOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

AU DADA ZANGU NACHO SEMA NI UWONGO ????
Ukweli mchungu.
 
Yanaingia sikio la kulia na kutoa kushoto huwezi mshauri mwanamke aliyopo kwenye joto pia usitupeperushie ndege
 
We jamaa kumbe na wew bado hujajijua vzuri , ww si mwanaume mkamilifu bado code kibao huzijui za real men ,,, nahisi we ni kisamvu pori hahhahaha u know
 
Na mtu anayefanyiwa kati ya kimoja hapo akaendelea kuganda ni kilaza huyoo
 
Weee koma kabisa hela nitoe! Maji yangu nampa bure! Mtoto nampa kuondoa aibu ya ugumba.
Na gharama kibao! Mnazijua!
Bado unaona mimi ndo ninamchezea? Yeye hanichezei?
Mnazidi kutukandamiza wao hawanaga nyege?
 
Hivi unafikiri hayo hawayajui?.
Hii sio siri, unawakumbusha tu.

Pamoja na kuyajua hayo ila unakuta moyo unakubali. Ndio kupenda kwenyewe..

Maana pia wanawake wapo wanajaliwa na wanaume na kupendwa ila wao hawawapend na wanakubali kwenda na mwanaume ambaye anajua fikra kuwa hapendwi ila anatamaniwa.
 
MI NI MWANAUME LEO NAWAPA SIRI ZA MWANAUME Ambae Anataka Akuchezee Afu Akuache Yuko Ivi

1-Siku Yakwanza Mtapoenda Kufanya Ngono Atagalamia Kila Kitu, Ila Akisha Kukojolea2 Kisha We Ukaenda Nyumbani Hutaona Kakutumia Meseji Ata Kukuuliza Beby Umefika Salama" Mpaka Uanze Kumtafuta Wewe

2-Ukienda Kulala Namwanaume Kwake Afu Akakuamsha Asubuhi Sanaa Kabla Ya Watu Kuamka Ili Wasikuone Huyo AKUPENDI

3-Mwanaume Anae Kuhitaji USIKU Tu Huyo AKUPENDI

4-Ukiona Mwanaume Anakupitisha Njia Za Vichochoroni Huyo AKUPENDI

5-Ukiona Mwanaume Usiku Mzima Kakupiga Kabao Kamoja Tu Afu Akageukia Pembeni Hataki Ata Umguse Huyo AKUPENDI

6-MWANAUME Anae Kuhitaji Akiwa NA NYEGE TU, Huyo AKUPENDI

Ukiona Mwanaume Baada Ya Kufanya Mapenzi Nawewe Akasitisha Mawasiliano Nawewe Ata Mwezi, Afu Akaja Kukutumia Meseji "BEBY MBONA KIMYA IVYO" Ujue NYEGE Zimempanda Naamekosa Wakuzituliza Ndo Anakukumbuka WEWE, Huyo AKUPENDI

UKIONA MWANAUME MWENYE DALILI HIZI MWAMBIE APITE KUSHOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

AU DADA ZANGU NACHO SEMA NI UWONGO ????
Ukiona mwanaume hajui tofauti kati ya HAKUPENDI NA AKUPENDI.

Kaa nae mbali inawezekana akawa anakupenda ila nasisitiza kaa nae mbali.

#Bagwell
 
Back
Top Bottom