Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

Akikuzarau huna hela muoneshe kitandani atakuheshimu,,

Au kitandani nako hewa kamoja tu chali ndani ya dk 5?
 
Aisee ushwahi kuona wanaume wengi wetu tunavyopapatika tukiona mwanamke mzuri jinsi tunavyoonyesha mawenge wengine hadi kudharau wanaume wenzao ili waonekane vidume...

Ushawahi kuona wanaume wanavyodiss wanawake wenye mionekano ya kawaida mixer kuji proud kutembea na wanawake wazuri?Fuatilia nyuzi za humu vizuri kila mtu humu anatoka na demu mkali

Amini nakwambia mwanamke kudharau mwanaume mwenye kipato kidogo ni kitu kinakuja automatically ni wachache sana tena watu wazima wanaojua maisha ndio wanaweza kupambana na hiyo asili..

Kuna wakundi mawili wanadharaulika na jamii

1.Mwanaume asiye na kipato
2.Mwanamke mwenye muonekano ambao sio mzuri.
Ngoja niseme kidogo hata ukiwa na hela usionyeshe kwa mwanamke Mana niwango kweli muigizie na wewe ili upate mkweli
 
Mwanamke anayekuacha kwa dharau, lazima mbele ya safari yatamfika na hapo lazima akukumbuke na ajutie lakini inakuwa it is already late. Naungana mdau hapo juu aliyesema hawa viumbe hawana shukrani
 
Na haya ndio mambo ambayo tunatakiwa kuwa nayo makini sana katika wanawake tunaoamua kuishi nao kipindi hiki.

Maana matatizo ni mengi na mambo ya uchumi hasa wa kujitaftia ni magumu sana. Umehaso miaka miwili maisha mazuri tu unafika wa 3 umeanguka na pikipiki unajiuguza miezi 6 umekomba savings zote.

Mke badala ya kuwa supportive kwa kuwa alizoea kupewa pewa hela anaanza kununa na masimango juu😁 halafu unazungumzia tusiwaze mabaya?

Jamaa mmoja jana kaja kulalamika humu na gari alikuwa nazo 3 kazi nzuri kapanga na amejenga nyumba iko kwenye lenta, maisha mazuri yani ila mipango ilipoharibika kilichofuata ni kufukuzwa kwenye nyumba aliopanga na kukimbiwa na mke. Sababu alioa mke mwenye fikra fupi kama mkojo wake ambaye alivutiwa na hela tu. Mbaya zaidi alipewa mtaji akaua akaja bahatika kupata kazi yeye ila still akawa mbinafsi tu akamtelekeza mumewe aliokuwa akimjali toka amemuoa.
Hata mimi nilisikitika niliposoma hiyo stori. Wakati ujao yatakayotokea hayo sio lazima kufanya kama huyu mwanamke unayemzungumzia hapa. Watu tunatofautiana. Msimamo wangu.... Hakuna haja ya kuwaza mabaya wakati hayajatokea. Yakitokea tutajua cha kufanya wakati huo. PERIOD.
 
Hata mimi nilisikitika niliposoma hiyo stori. Wakati ujao yatakayotokea hayo sio lazima kufanya kama huyu mwanamke unayemzungumzia hapa. Watu tunatofautiana. Msimamo wangu.... Hakuna haja ya kuwaza mabaya wakati hayajatokea. Yakitokea tutajua cha kufanya wakati huo. PERIOD.
Ila mi naamini wasiwasi ndio akili...kama wewe leo hii huwezi kumsupport mwenzako hata kidogo ndio utaweza siku akianguka?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ila mi naamini wasiwasi ndio akili...kama wewe leo hii huwezi kumsupport mwenzako hata kidogo ndio utaweza siku akianguka?
Tusishindane nyuma ya keyboard. Hakuna anayependa kuweka wazi mambo yake hapa. Aliyekwambia kuwa sim-support mwenzangu nani? Tafuta SHEKELI KIJANA.
 
Mimi mbona niliambiwa kwa kejeli mbaya tena mbele ya house maid '' Don't touch my car" na kweli sikugusa!!! Sometimes ''Utakalia kuendesha Magari ya wanaume wenzio tu!!!

Nikapiga mashine za kutosha na team ya kutosha kila akipata Mimba namwita kakake aje achukue gari ya dadake akae nayo mpaka ajifungue mimi niko busy na Biashara zangu.

Majibu aliyapata muda si mrefu, nilinunua magari mazuri mara dufu na ndo ikawa ticket yake moja kwa moja asije niua bure kwa ajili ya maumivu ya kujibiwa! Mpaka sasa ananisikia tu. huyo ungemzalisha watoto wengi tu na ujihadhari katika kulea mtoto inaweza ikawa fimbo ya kukuchapia.

Ukipata mimali tu kifo kinakutafuta hata majambazi yatakukosa mara kibao! Wanawake siyo watu wewe!!! Asijue kwako wala mali zako. Kasomewe Albadil ya kinga! Akikuroga tu awe kichaa!!

Kumkomesha nikaoa house girl huyohuyo! Nikampiga pamba za hatari, X wangu akiomba hela namwambia kachukue kwa Mama~!!! Sitaki shida mie, shule nivumilie na bado maishani nivumilie jitu zima lenye ndevu chini, weee!
duuu weee kiboko house girl kabisaaa alikuwa mzuri?

Vepe kachura kalikuwepo?
Anaendeleaje kwanza!
Hajarogwa na huyo muachwa?
 
Akikuzarau huna hela muoneshe kitandani atakuheshimu,,

Au kitandani nako hewa kamoja tu chali ndani ya dk 5?
Upo Sahihi. Kama PESA imepeperuka.... Basi Sugua Sugua mpaka kiwake Moto.


Heshima Zote .... Utapata.
 
Kiasili heshima ya mwanaume au jinsia ya kiume ni kuihudumia kuitunza familia yake......mwanaume anaposhindwa kutekeleza WAJIBU huo wa kiasili automatically anapoteza nafasi yake kama mwanaume kwenye familia na jamii kwa ujumla..........

Ukilijua hilo mapema zaidi kutakufanya uizidishe uwajibikaji ili kuimarisha heshima na utu wako kama mwanaume!!!!
Kuna majanga yasiozuilika unafanyaje lilitokea
 
Back
Top Bottom