Kuna mambo ni nature mkuu kati ya wanawake 10, 8 kati yao tabia hizi wanazo kununa kwa kitu kidogo,kuchelewa kutoka ndani hata kama uliwahi saa mbili kabla kuanza kujiandaa kwa ajili ya safari yoyote ile iwe ya kanisani, outing na sehemu zingine za hivyo,wivu kwa mume hata kama humpendi ila kuna hali flani hivi mtu iko ndani ya moyo sijui tu kwa nini,kutumia hela in emergence case halafu baadae unakuja kumwambia mwenzio kuwa nirudishie hela yangu niliitumia kwa ajili ya kitu hiki na kile cha ndani
Wanaume pia wana mambo yao kati ya 10,8 kati yao wanazo kuchelewa kurudi nyumbani hata kama hakuna sababu ya msingi iliyomchelewesha,kuchepuka(hii kitu iko damuni kwa wanaume wengi na janga la karibu wanaume wote hata awe mcha Mungu vipi lazima ana viashiria flani hivi vya uchepukaji na mambo mengine