Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,835
- 70,349
Baki hivyo hivyo tuAmin amin comment yako haina ukweli ndani yake. Daaah leo sijakusoma kabisa
Baki hivyo hivyo tuAmin amin comment yako haina ukweli ndani yake. Daaah leo sijakusoma kabisa
NdioUshanusa???
Leo nakula nao sahani mojaDuh! "Jirani" umeamua kuwapa za uso!
TuvumilianeNi Ishu ya Kurekebishana Nadhani Haina Haja ya Ku Expose Mambo Haya kwenye Mitandao ya Kijamii
Kapeace wewe ni Aina ya wanawake ambao wakiinama Akili Zinamwagika![]()






Hahahahahhah!Leo nakula nao sahani moja
Akami nkabinge embwa kileki
Duh!!!!! Nilikuwa cjayacheki vzr.....,asee ni zaidi ya makubwa.....,
Kijijini kila nyumba ina shimo la taka. Ndoo maana taka humwagwa shimoni na c nje ya shimoKila mtu abakie na ukweli wake muwe mnamwagia nje
Mtatafuta magari ya kubebea mitakataka yenuKijijini kila nyumba ina shimo la taka. Ndoo maana taka humwagwa shimoni na c nje ya shimo
kumbe ni za wengine..jaribu kwangu tuone ladha ya harufu itakuwejeNdio

Lait dada ungekuwa mtu wa Afya ujionee tunachokutana nacho kwa jinsia ya kike usingetaka hata ushindani dadangu.Mtatafuta magari ya kubebea mitakataka yenu
Bora unyamaze mmezidi utadhani nyie shahawa zenu zina deodorantLait dada ungekuwa mtu wa Afya ujionee tunachokutana nacho kwa jinsia ya kike usingetaka hata ushindani dadangu.
Ungekaa kimya tu japo najua nauma kwa kila siku kushambuliwa.
Ila ukweli au ngoja nkae kimya tu.
Sawa nisibishane sana na vitu ninavyovijua.ngoja niwe mjinga.Bora unyamaze mmezidi utadhani nyie shahawa zenu zina deodorant