mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Yani umemkodolea macho kote huko? kwanini usimwambie kama anakukera?
Yani umemkodolea macho kote huko? kwanini usimwambie kama anakukera?[/QUOTE]
Ili hasira zake amalizie kwangu..aniaibishe kwenye daladala!?
Ngoja nikakope deodorant alafu nioge.
Kidevu ntashevu nikinunua sukari ili nitengeneze wax.
Nimepanda daladala,
Imejaa kupita kiasi,
Nimesimama na pembeni yangu yupo mdada,
Kisura anaonekana si haba,
Kidevu kimejaa ndevu,
Ameshika bomba kama mimi,
Amevaa kitopu, mikono juu,
Jasho chepechepe, manyoya kibao, kikwapa tena ndo usiseme.
Kitop kimepanda juu,
G-string njenje, imefubaa hiyo balaa,
Siwezi kuendelea kusimulia!
Nilitamani safari yangu iishe haraka, nilipofika nikashukuru...nikawaachia dhahama hilo washika bomba walioendelea na safari.
Jamani wadada walau kausafi kidogo basi.
aisee, ile mahari ya kunioa mke wa pili naomba usiilete tena! kumbe hutaki nifanye kazi ili uwe unachungulia wadada huko kwenye daladala hivyo eeh!
:A S embarassed::shock:
Nimepanda daladala,
Imejaa kupita kiasi,
Nimesimama na pembeni yangu yupo mdada,
Kisura anaonekana si haba,
Kidevu kimejaa ndevu,
Ameshika bomba kama mimi,
Amevaa kitopu, mikono juu,
Jasho chepechepe, manyoya kibao, kikwapa tena ndo usiseme.
Kitop kimepanda juu,
G-string njenje, imefubaa hiyo balaa,
Siwezi kuendelea kusimulia!
Nilitamani safari yangu iishe haraka, nilipofika nikashukuru...nikawaachia dhahama hilo washika bomba walioendelea na safari.
Jamani wadada walau kausafi kidogo basi.
Kumbe sukari inatengeneza waxi eeh!
Ulimwambia huyo dada awe msafi kwa ulivyoviona?? unafiki