Wanawake kuweni na shukrani

Wanawake kuweni na shukrani

mabwana

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
307
Reaction score
316
wanawake wengi wa kitanzania hawana ahsante sisemi wote lakini wengi unampa pesa bure 30 to 50 thousand bure akwambia hata ahsante nini hii, stupid thing in my life sema ahsante. wanataka ziada jamani kuweni na ahsante
 
Tenda wema uondoke zako usingoje shukurani itakuletea matatizo
 
Kwani wewe ukipewa sambusa unasemaga ahsante. Si unavaa nguo zako na kuondoka kwani wale ni dada zako ?
 
Kama umempa ya bure asante ya nini we si umetaka mwenyewe kumpa basi asante ni maamuzi yake wala sio lazima kwani hakukuomba
 
Asante humpa moyo mwanaume wa kuendelea kutafuta zaidi. Ni neno dogo lakini power sana kwa mwanaume. Haswa kama mahusiano ni serious.

kuachana na 50,000 au 30,000 kwa kipindi hiki inahitaji moyo.
Sasa kama unayempa hasem chochote basi anakuvunja moyo.

Mara nyingi hao wako kwako kipesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake wengi wa kitanzania hawana ahsante sisemi wote lakini wengi unampa pesa bure 30 to 50 thousand bure akwambia hata ahsante nini hii, stupid thing in my life sema ahsante. wanataka ziada jamani kuweni na ahsante
HAKIKA
 
Unasahau watu wametofautiana
Wengine hawataki useme Asante
Anakwambia ni jukumu lake.



 
Haina maana wakati mwingine unayetaka akupe ahsante, ukimpa kisogo nyuma anabaki anakuzomea.
 
hizo pesa ungempa mama ako angekupa asante na baraka tele zingekufata nyuma.
 
Back
Top Bottom