A.R.M
Member
- Oct 6, 2012
- 89
- 21
Jamani wanawake kuweni wastaarabu. Kama mwanaume ajajaliwa kuwa na kipato kinachokutosha na wewe umejaliwa kupata pesa nyingi kuliko yeye usitumie kigezo hicho kumnyanyasa kwa maneno au mitandaoni kama alivyofanya "super women" nimepata jibu kwa nini wazee wetu walikuwa hawataki mwanamke kuwa na kipato! Bora kuwa na golikipa anaekuheshimu ataishi kwa kuridhika na kipato chako kuliko hawa wanaotafuta pesa akikuzidi kidogo tu anaanza kukuona huna bidii yoyote ya kutafuta.