Wanawake kutumia vibomba

[COLOR=#0000cd said:
Bra-joe[/COLOR];7604173]Huku sasa ni kuwadhalilisha watu wa jinsia ya kike, vidume tujitahidi kuwa na mtazamo chanya kuhusu jinsia hii, bila wao sisi wanaume hatuwezi kuwa na furaha.

BRA -JOE..! ar u ok?...kumbe furaha yako inategemea mwanamke?....tangu leo nimekuweka kwenya watu wenye uwezo
mdogo sana......mke kabisa.....?.UNAJISIKIAJE ukienda bar ukaagiza nyama choma huku miziki ya country ikipigwa....?raha sana...au nenda kucheki soka alafu timu yako ifunge uone utamu....ingia kwenye ukumbi uone boxer wanavyoonesha fani ...utafurashi mwenyewe., LAKINI UNASEMA MKE....YAani MWANAMKE Kama delilah aliyemuua samson,
 
Umekosa nini mpaka ufuate vibomba wakati mipini ya kuku kojoza imejaa tele...
 
Eeeh! Kumbe!

Vile vibomba vinafanyaga mashine irudi kwenye order asap ila kuondoa ny... sijui aisee


sidhani
Raha jipe mwenyewe. Sasa si bora vibomba vya kurusha maji. Mtu anajishindilia karoti au ndizi ili tu ajifurahishe kwa sababu wanadai wanaume wanawaumiza sana moyo kwa utapeli na uwongo wao. Kina mama kuna ukweli hapa?
 
Hahaha!
Wewe ni mdogo wangu.
Hupaswi kunitamani.
Mwenye jukumu la kuutawala mwili wangu ni mpenzi wangu Himidini tu.
Kua kwanza.

Weeee, wajuaje mi mdogo wako!
Niko katika umri ambao mwenyewe utanipenda, nacheza game kwa umakini bila papara!
Teh!
 
Last edited by a moderator:
Mimi na mashosti wangu tunacho ghetto kwetu, asikwambie mtu ni vitamuuu balaa

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 

ukasikia? ama na wewe ulikuwa unafuatilia kidosho kwa females toilet?

just be faithful!
 
Sometimes lugha za jf ngumu ! Eti "kibomba"
 

Kwani hivyo vibomba vinagharimu pesa ndefu kiasi cha kuingizwa ktk bajeti ya mshahara?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…