Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

Wanawake kutongoza wanaume kuna ubaya?

hussein boxer

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
832
Reaction score
335
Habari zenu wakuu? naomba kuuliza hivi kwa nini mwanamke akimtongoza mwanaume jamii inayomzunguka humchukulia vibaya?
 
ni bora kama utaonyesha kwa vitendo kuliko kutamka live
 
Bantu lady my dia, twende basi ukanisaidie kutongoZa maana hata sijui wanaanzaga vp
 
leo jumanne, jumamosi lazma nitongoze mtu nahisi nimezama kwenye dimbwi la mahaba
siwezi kufa na hisia zangu

Kumbeeeee .......

Panga kutongoza na mimi nakutongoza
Nimechoka kuumia mie

Katoto kazuri sana wewe ....lol!!!!!!!!
 
nina mpango wa kumtongoza mtu MMU tatizo kajikita siasani
 
Mambo ya utandawazi hayo..... lakin mara nyingi huonesha kwa vitendo, lakini kama mwanaume haoni... kuliko kuumia ni bora umwambie
 
Bantu lady my dia, twende basi ukanisaidie kutongoZa maana hata sijui wanaanzaga vp

Hahahahaa una vituko baby ake, mi ndio najua basi, hamna kitu. Nafikiria labda wanawake wanatongoza kwa aina tofauti na ile ya wanaume.
Ila wataka mtongoza nani tena?
 
Back
Top Bottom