COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 538
- 697
Mkuu pamoja na kunywa mtindi WAWE WANA KOSHA MAUMBILE YAO KWA MAJI SIO KUJIFUTA NA MAKARATASI BILA KUJISAFISHA KWA MAJIHellow
Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha kila siku ilo jasho la kwabibi litakata
Unakuta manzi mrembo afu kwabibi kunatema hii sio sawa ushauri wa bure ata kwa sisi wanaume kama unakijasho kila cha kwapa mtindi unatibu
Kwa wadada mpaka fangus za kwa bibi ukitumia mtindi hazitokusumbua