Wanawake: Kunawa sio kujisafisha

Yani sina cha kumwambia zaidi ya hicho, kiukweli sikutegemea mtu kushauri watu vitu ambavyo yeye mwenyewe havijui
Dadaaangu mimi ni Mtalaam kwenye hiyo fani
 
Usinuke tu mpenzi [emoji41] [emoji41]
 
Mbona umejibu kwa hasira sana?
 
Nan kakudanganya kua sabun ni lazma itumike kusafishia?? Kaulize vizur
 
Nan kakudanganya kua sabun ni lazma itumike kusafishia?? Kaulize vizur
HAHAHA HIVI HUWA ZINANUKAJE SIJUI ILA INAELEKEA NI HATARI SANA MTU MPAKA ASHAWISHIKE KUWEKA NDIMU MDALASINI HAHAHA NDIMU MDOMONI CHUKGU KWENYE PAPUCHE UNAANZAJE KUIKAMULIA KAMA KACHUMBARI KHAAAAAAAAAAAA
 
Hahaa huko ni kujitafutia magonjwa nyie ndio mnaofanya baadhi ya wanawake kutwa kuhangaika kutafuta vya kuweka uken duh pole yaoo mwanamke anaye jiamin cku zote haungi nyapu bali atajikubali na kwa kile alichonacho
 
Yaonesha wwe uko chini kuna jalala
 
Uko sawa kabisa ukeni hakupaswi kuingizwa vidole wala hakutakiwi sabuni zenye cemiko eti anasema chokonoa achokonoe yeye atie hiyo milimao yeye hfu mwisho wa cku ataisoma number hana lijualo tucdanganyike!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…