Wanawake: Kunawa sio kujisafisha

asikudanganye mtu kale kaharufu ka uvundo ndio kanapandisha mzuka,we mbunye inanukia udi,na mimarashi mingine wapi na wapi?tena mimi mwanamke anayejiremba kama jini mie simtaki kabisa
 
chuchumaa ingiza vidole mpaka ndani kabisa chokonoa safisha kabisa hiyo malighafi tumia sabuni laini maji ya moto yaliyowekwa ndimu kidogo mdalasini na karafuu
Nakubaliana na mawaidha ya kuchuchumaa na kusafisha kwa vidole kwa maji na sabuni. Lakini yale ya ndimu, mdalasini na karafuu hizo ni hadithi za kustarehesha baraza.
 
Anaweza akawa maambukizi.
Kama anatoa harufu kama shombo ya samaki na uchafu wa rangi ya manjano au kahawia basi inawezekana ni Bacterial Vaginosis.
Kama anatoa harufu mbaya ikiambatana na uchafu wenye mapovu na wa rangi ya manjano au kijani nasi anaweza kuwa na Trichomoniasis.
Mpeleke hospitali tafadhali akapate dawa.Anahitaji metronidazole.
 
Nakubaliana na mawaidha ya kuchuchumaa na kusafisha kwa vidole kwa maji na sabuni. Lakini yale ya ndimu, mdalasini na karafuu hizo ni hadithi za kustarehesha baraza.
Asante japo wengi wamepost bila kutafakari hawajauliza kiwango cha limao mdalasini nk na kwny sabuni nimesema sabuni laini
Sabuni laini ni ile isiyochubua haina kemikali Kali
Hivyo viungo nilivyotaja ni tiba nzuri sana, wanawake wanaingiliwa na kuachiwa manii ukeni
Manii za MTU aliyekaa muda mrefu bila kufanya ngono ni nyingi na zina harufu Kali
Mimi ni MTU mzima najua ninachoongea na nimewasaidia wengi nitaendelea kufafanua mpaka kila MTU aelewe
 
Makubwa[emoji15]
 
Mkuu rudi tu shule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…