Jamani mbona mnawasimanga wakina mama na dada hivyo...kwani kuna alama iliyoandikwa usoni mwao kuwa waende bar mpaka saa ngapi! Mbona wa baba hatuwasemi kwa hilo? Mkiona hivyo basi mjue kuna tatizo sehemu fulani katika hizo nyumba zao, si bure na si hulka kwa mwanamke kufanya hayo. Kwa kweli ni aibu sana ila wafanye nini na wao wajisikia wapweke.