Wanawake: Kosoa kwa hekima

‘’Wanaume wenzako wanajenga, wewe kila siku ahadi tu"
''Wenzetu wanajenga,sisi kila siku ahadi tu''....Hii ndio kauli ya anayetaka kuwa sehemu shiriki ya maendeleo.
 
Inategemea umemshauri Mara ngapi, wanaume wengine vilaza haoni umuhimu wa kujenga, akiwa kwenye Nyumba za kupanga yeye kashafika.
 

MKUU

WEKA PICHA FASTA NAKUSHAURI.
 
halafu unakuta mabingwa wa kuongea maneno hayo ni wanawake wapo wapo tu. Kama unataka mumeo ajenge kwanini msishirikiane naye kama uwezo unao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…