Wanawake kama hawa wapo kweli?

Wanawake kama hawa wapo kweli?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] hilo si jambo la kuuliza asiponyoosha maelezo atanikuta nimeshafungasha virago vyang.
Hahaha we unaonekana mtata sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha we unaonekana mtata sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna mkuu mm sio mtata ila sipendi dharau...napokukabidhi moyo usithubutu kuutia japo kamchanga. Nitakuacha hutoamini macho yako
 
Dhaaaaaaaa nmemkumbuka
My x aika wa arusha
 
Hamna mkuu mm sio mtata ila sipendi dharau...napokukabidhi moyo usithubutu kuutia japo kamchanga. Nitakuacha hutoamini macho yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] handle [emoji173] with care
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom