Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,008
- 8,391
Unamtumiaje nauli mtu ambaye yupo ndani kwako?
Ongea nae vizuri atakuelewa tu mkuu.
Hamna kazi hapa
🤣🤣🤣🤣🤣Nikaona nikustue mwenye Mtu wakoHamna kazi hapa
Hahaa ule uzi ilikuwa ni ishara tosha kwamba hamna kitu pale🤣🤣🤣🤣🤣Nikaona nikustue mwenye Mtu wako
We hutaki kupendwa?Hahaa ule uzi ilikuwa ni ishara tosha kwamba hamna kitu pale
Anajiendekeza sanaAikooooo! Kaka unajua kudeka wewe kama mgonjwa wa dendeule kila ukimgusa ni kilio tu 🤣 🤣 🤣 🤣
Anahudumiwa vizuriAnajiendekeza sana