Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Urefu dili bhana
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahaaaaaaaWhatsApp, Twitter and Facebook.
Yaani mitandao ya kijamii
Usipotee sana sasa shemeji
km hauna akili timamu utaona dili...km zimekutosha hao wafupi nao wapo pia smart...hakuna mwanaume ambaye tunapaswa kumjudge kwa kimo..hayupo..huwez sema mrefu anajua kucare.au anajua sex in general..lol...ht ss wanawake wafupi sio wote wabishi au wakorofi[emoji4]
Wanawake mpo wengi sana, ukiona mwanaume anatafuta pesa ili apendwe na mwanamke ujue huyo ni zuzu.[emoji23][emoji23][emoji23] hukuwepo enzi za Adam wewe mlipoelekezwa mle kwa jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake mpo wengi sana, ukiona mwanaume anatafuta pesa ili apendwe na mwanamke ujue huyo ni zuzu.
Shem tushirikishane. Tunapigana tafu tu
Hakuna mwanamke bwawaaa....Kibamia inategemea mtumiaji pia ni bahari au bwawa?? Maana kibamia akipimwi kwa kukiangalia
Hakuna mwanamke bwawaaa....
[emoji3][emoji3][emoji3]shukranShem tushirikishane. Tunapigana tafu tu
Mwanaume kuleta pesa kwa mwanamke wake ni heshima kama hutaki acha watakutunzia wenzioWanawake mpo wengi sana, ukiona mwanaume anatafuta pesa ili apendwe na mwanamke ujue huyo ni zuzu.
Yeah sisi tulio soma physics huku lyadebwe, tulieleweshwa hivi, Bomba likiwa Nene na pressure inakuwa ndogo, Lakini bomba likiwa dogo pressure inakuwa kubwa sana zaidi ya Kimbunga. [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Wacha watunze tu kwani wanawake wameisha.Mwanaume kuleta pesa kwa mwanamke wake ni heshima kama hutaki acha watakutunzia wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ Ndani Ndani huko kabisaa,Wwe utakuwa wa lyadebwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha watunze tu kwani wanawake wameisha.
Sawa endelea kuamini unachokiamini.We haupo kwenye kundi la wanaume bado mvulana wewe ndio maana huoni kadhia
Sent using Jamii Forums mobile app