Wanawake jitahidini Kuwa wasafi.

Wanawake jitahidini Kuwa wasafi.

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
Mdada mzuri, lakini mdomo unanuka khaaaaaaa, yaaan huwa nachoka ,,,
Nimekutana na kadhia hii Mara nyingi,,, sasa najiuliza inamaaana Hawa viumbe hawajui Kuwa usafi wa kinywa ni muhim pia na inaweza Kuwa chanzo cha mahusiano kutodumu.?
 
Hakuna kiumbe msafi kama mwanamke, hata paka msafi lakini haingii ndani kwa usafi wa mwanamke.
 
Pole sana...

Ni hao unaokutana nao...

Ila wanawake idadi kubwa wanajitahidi sana kwenye usafi, haswa akiwa anenda kukutana na mwanaume...

Cc: mahondaw
 
Hakuna kiumbe msafi kama mwanamke, hata paka msafi lakini haingii ndani kwa usafi wa mwanamke.
Wapo baadhi wachafu mm yupo mwl mmoja wa kike tena anafundisha sekondar lakin akiongea karibu yako waweza tapika
 
Mdada mzuri, lakini mdomo unanuka khaaaaaaa, yaaan huwa nachoka ,,,
Nimekutana na kadhia hii Mara nyingi,,, sasa najiuliza inamaaana Hawa viumbe hawajui Kuwa usafi wa kinywa ni muhim pia na inaweza Kuwa chanzo cha mahusiano kutodumu.?
si unge waambia ukweli wao wabadilke
 
Back
Top Bottom