Wanawake Jitafakarini

Wanawake Jitafakarini

Brother sina kawaida ya kuandika story z uongo humu ndani, hayo ndio maisha nayopitia now. Nadhani utaelewa kwanini kichwa cha habari kipo vile hapo badae. Sio tungo hiyo
Maliza story acha mambo ya kitoto huoni kina deepPond mpaka wamekua wenye viti we wa wapi bana usituchoshe
 
Mwanaume nikamjibu "Fungua mlango nije nikwambie huku nakuangalia usoni kama huamini" weeeeee, akafungua mlango kweli bwana, nasikia kabisa mlango unafunguka, pombe ilivyokuwa haina adabu, Abdala kichwa wazi asisimame, moja kwa moja nikafungua na mimi wa kwangu naelekea chumbani kwake.....

TUNAENDELEA........

Nilikiwa nipo High, yaani nimelewa, kiukweli ile gongo ya kizungu inapanda taratibu, mara ya kwanza nilidhani nipo sawa tu, kwa sababu niliona imepanda taratiiiibu halafu naweza kuongea vizuri,na sikuwa nayumba...

Nikafungua mlango wangu, nikazama chumbani kwake, kwa mara ya kwanza nikiwa naingia ndani kwake, nikajua kumbe taa yake ina rangi rangi, huwa anazima na kuwasha inajibadili, yeye akiwa kwenye kanga aliyofunga mpaka kwenye kwenye kifua, nadhani alikuwa akijiandaa kuoga. Nikamuangalia usoni, nikaona kanikazia macho, halafu kama ananiangalia kwa wasi wasi, nikajihisi kama nimeshtukiwa hivi, mana sikuwahi kumwambia kama huwa nakata vyombo. Ikabidi niwe mpole.

"Haya, ongea nikusikia jirani, maana nilikuwa siamini amini kwenye simu" akaniambia, mi bwana na ma confidence yote, nikafunguka, "Nisikudanganye Recho (Jina si halisi), mara nyingi nakuwaga mfuko mweupe sana, ila nikirudi nikakukuta unapika, kisha unaniambia nipumzike nisiondoke bila kula, huwa nauona Uwanaume wangu, yaani naona kama unaniheshimisha sana, kiukweli kwa yote umeyafanya nimejikuta naingiwa na upendo, unanipa wakati mgumu sana"

Wakati huo nimebana abdala kichwa wazi kwenye boxer, nimetuliza, kwa hiyo kunaonekana fresh tuu, juu nina vest, natema madini nipo kitandani.. alichokuwa ananikera mwenzangu ni kucheka cheka vile, alikuwa ananikata mood, kuna muda nikawa najihisi 'au kajua kama nimelewa halafu anani enjoy hapa' nikamuangalia, nikamwambia 'naomba usicheke, nipo serious' basi nikaona kachomeka simu chaji, halafu design kama karudishia vizuri mlango, maana jirani yetu yule mwingine alikuwa keshambonji muda mrefu sana.

Nikaona ananiambia, "Diwani wewe upo kwenye mahusiano, ila mimi nilikwambia niliyowahi kupitia huko nyuma"

Recho bwana aliwahi kunisimulia kisa kimoja hivi, kumbe alishawahi kutolewa mahari, akakaa na bwana wake Tanga, wamekaa kama mwaka hivi, akawa hamuelewi mwenzie, mara arudi usiku sana, mara awe mkali ghafla tuu, akasema kwamba jamaa alipandishwa cheo kazini,so na vihela vikaongezeka, akawa anahisi hela zinamzuzua.

Baada ya muda alikuja kushtuka kumbe jamaa ana mwanamke mwingine tayari, na amempangia chumba maeneo ya pale pale Tanga mjini. Walikuja kugombana mpaka kufikia mahakamani sasa, kwa hiyo tangu kipindi hiko yupo peke yake, na hiyo ni tangu 2021, mwishoni, so hataki kabisa mahusiano, alirudi kwao Moro akakaa kama mwaka kabla ya kuja Dar kuanza maisha yake, so alikuwa muoga muoga hivi.

Kwani unadhani mimi hapo hata nilikuwa namsikiliza? Yaani halmashauri za kichwa cha chini hazielewi, nikajikuta nimetamka " mimi nimeamua kuwa mkweli, kama utanikataa poa, ukikubali poa kwa sababu sielewi haya yote yamekuwaje, ila wewe unajua" akanikata jicho flani hivi, kama sekunde kadhaa za kuniangalia hivi nikamshika mkono, nikaona hana nongwa, nikaushika na mikono miwili, akaniambia anataka kulala, nikamwambia "utanipa usiku wa shida sana, ila nitajifariji kwa sababu nimeshakwambia kazi ni kwako" akaniuliza "kwani we unataka nini" nikamwambia 'nilichokuwa nataka nimeshakipata, ni kusema tuu mbele yako niliyosema kwenye simu' basi nikamuona amepandisha na mkono wake mwingine ili nimshike pia, kumbe ile kanga yake ilikuwa ni kama imelegea,akawa anabana na viwiko vya mikono ili isianguke. Nikamwambia asijali, nikamuachia mikono nikasema 'ipandishe tu'

Toka hapo sikuamini nilicho kuwa nakiona mbele yangu, kama nilikuwa naota au ni kweli, yule dada aliishusha ile kanga, kifuo chote kipo wazi, niliweweseka kidogo pale ndio nikajua dawa ya pombe sio supu. Nikamuona kasimama halafu kaenda ku lock mlango.

Kitasa cha mlango wake ni kibovu, so hakifungi, kinatumia lock ya funguo tuu, mwenzangu baada ya kulock, akapandisha mkono kushoto pale pale kwa juu, akazima taa. Jamani, pombe mbaya, ila siku ile niliona msaada wake, kwa kweli ile ni zaidi ya Vita, alisuguliwa mtu mpaka nikawa najiuliza kama ni mimi au mwingine. Tangu hiyo saa tano, nikajikuta nimelala kule kule, feni linapepea, nakuja kushtuka ni saa 10 alfajiri. Uzuri wake ilikuwa tunaamkia jumamosi, ingawa yeye bado anaenda kazini siku hiyo, nikamuona bado amelala pale.

Nikanyanyuka taratibu natoka yeye bado kalala tu, nikaenda ndani kwangu kumalizia usingizi, na pombe yote imekata, nipo kwenye hangover tu. Nikawa nakumbuka ile game ya ule usiku.

Ghafla nikaanza kusinzia sinzia, ingawa nilikiwa najisikia vibaya, yani kama kutapika hivi. Ila sikutapika, nilipata muda wa kulala, nikalala tena. Nimekuja kushtuka saa moja, nikatoka nje niende kula supu, nakuta mlango wake upo wazi. Nikawa naita 'Jirani, jirani' kimya.

Kumbuka huu mlango ni mpaka ufunge na lock ya funguo. So wakati naita hakuitikia, mi nikaona isiwe kesi, sahani uliyoliya yako tena, nikazama ndani, wakati huo jamaa wa chumba kingine hapa akawa amewasha redio yake anasikiliza.

Nimefika ndani, nikamkuta kalala, bado feni linapepea tu, nikawa namuamsha, akaamka. 'Mambo' akanisalimia, nikamuona kama anageuka kwa tabu hivi, nikamwambia aamke 'au kazini hauendi leo' akaniambia 'nipe simu' nikampa.

Nikamsikia anaongea na bosi wake anamuomba ruhusa hatoweza kufika kwa sababu anaumwa. Mi nikaona hata, isiwe tabu, ngoja nimuache kwanza, akaniomba nimkumbatie akiwa amelala vile, Mwanamume nikafanya hivyo.

Sasa, muda kidogo nikaendelea na ratiba yangu, wakati narudi ikaingia simu. Kucheki ni 'babe' ananipigia, akaniuliza 'upo home'?
Nikajibu 'ndio ila nataka kutoka' akanambia 'nisubiri kidogo nakuja'

Akakata timu...

Ntaendelea.
kazi nzuri,,,,ukiweka muendelezo nitag
 
Back
Top Bottom