Simon alimfuata yesu akamuambia "Bwana, tunaomba Mariamu aondoke maana hastahili uzima kwakuwa yeye ni mwanamke,wanawake hawastahili uzima"
Yesu akamjibu na kumuambia "Mimi mwenyewe nitamuongoza na kumfanya awe mwanaume, ili awe roho inayoishi inayofanana na ninyi wanaume. Kwakuwa mwanamke yeyote atakejifanya kuwa mwanaume ataurithi ufalme wa mbingu"