Wanawake jiheshimuni?

Dunia inakoe;ekea ni kubaya. Hao wengi wamevaa roho za mashetani kwa ajili ya kuangamiza kizazi hiki. Unajua kumtamni mwanamke ni dhambi. hapo sasa hata kama mwanamme alikuwa hana nia ya kufanya uhasherati, atakuwa ameingizwa kwenye mawazo hayo kwa hao. na hawa ni kama kila mahali especially mijini.
 
Kaka amefungasha yule 😂 😂 😂
Namuonea wivu sana kanizidi mbali😆
Ni kweli, wapo wanawake ambao wanazingua hata mimi kuna mavazi sipendi kuyaona.
Ila kwanini hawawashauri na wanaume wenzao wanaovaa kihasara hasara, kila kukicha mambo ya wanawake tu?
Wanaume hawashauriani zaidi ya kuambizana wasioe singo maza na wanawake above 30, wameshaamua kula na sisi sahani moja, acha tudeal nao perpendicular 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…