Wanawake jifunzeni hapa

wolfpack

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
1,140
Reaction score
1,351
Nashangaa sana kwanini wanawake huwa sometimes hamuoni mbali. Kuna jamaa mmoja rafiki wa karibu sana miaka mitatu iliyopita alitokea kumpenda mdada mmoja hivi sasa jamaa alikuwa yupo tayari kwa asilimia 100 kuanza life na yule dada kwakuwa alimuelewa sana ila cha kusikitisha japo na ukaribu na ugentleman na love aliyokuwa akimuonesha yule dada, bado alipewa za mbavu baada yule dada kumwambia hawezi kua nae kwasababu anajamaa yake wa mda mrefu na jamaa akimaliza masomo yake atamuoa. jamaa alinywea na akasema poa ila hatoweza tena kuwa rafiki kama walivo kwa sababu atakuwa unaumiza moyo wake. Miaka mitatu imepita ya ni wa 4 sasa demu hajaolewa yani jamaa yule prince charming kafanya yake sana sasa amepita hivi, kila napokuwa na mshikaji akikutana na demu nia mambo tu basi ila demu analalamika kuwa jamaa kamuwekea tinted ila jamaa hapo hapo anamuuliza kivipi demu anasema kuwa siku hizi unanichunia na haupo karibu tena, jamaa anamwambia kuwa ww ulizingua miaka mi 3 iliyopita saivi tungekuwa mbali sana endapo tungekuwa pamoja basi demu anashoboka kuwa hata sasa bado tunaweza, jamaa anamwambia haiwezekani moyo wangu upo kwa mwengine.

DEMU SIKU HIZI KAOKOKA NA ANAPIGA FIRE SANA AKISALI APATE MUME.

SASA NAJIULIZA WAKATI JAMAA YUPO ALIJIONA EXPENSIVE NA UMRI UNAENDA MANZI NA SAIVI AMEKUWA ANAKITEMBEZA SANA. Jamaa anacheka na kusikitika maana ni jambo la ajabu, jamaa is happily marriend. WANAWAKE HASA WA MAKAZINI MJIFUNZE KUWA SIO KILA MWANAUME ANAEKUFUATA ANATAKA AKUTOMBE AKUACHE, WENGINE WANA MTAZAMO MZURI SANA WA MAISHA NA NYIE HATA KAMA NDO KAANZA KAZI NA ANALALA CHINi MPE NAFASI KWANI BABA ZENU NA MAMA ZENU WALIANZA WAKIWA NA KILA KITU? Kumetokea kuwa na kundi kubwa la wanawake wasiolewa, single mothers, na wenye malengo ya kifamilia lakini hawafanikiwi kupata wenza kwasababu ya kuwa too materialistics hasa walioko makazini kwaajili ya kuchagua maisha mazuri na wakiwa hawataki kuanza chini na wenza MTASUBIRI SANA.

Nadhani kwa hii story fupi lazma wale mlioko kama huyo dada mtajiongeza, know the intentions, dont waste you time and luck. or else mtazeekea kwenu na single.
 
Baadh yao wanaakili za kuvuka barabara tu, hasa ktk masuala ya msimamo na uvumilivu. Leo weng wamebak kusema flan angenioaga sema nlimsumbua, ukimuulza kwann utackia we acha tu kaka, hapo anaemzungumzia ana mke na maisha mazur.
 
Mhh siwezi kumlaumu huyo Dada kwa asilimia mia. Rafiki yako alimkuta na mtu ingawa mtu huyo alikuwa masomoni mbali. Huyu dada aliweka matumaini yake kuolewa na boyfriend wake wa mda mrefu hakujua kama angedanganywa. Je angefanyaje? Moja amdanganye rafiki yako waanze uhusiano huku akijua bado ana mtu anamsubiri halafu asikilizie patapotick ndoa. Au awe mkweli kwa rafiki yako ingawa ndo akaja kuangukia pua.

Haya mambo yanataka sana kutafakari unaweza kuwa na nia njema na bado ukaumizwa.
 
Ndo yaliyonisibu mie kama haya.Yani hawa watu ni balaa
 
Mimi sijaona kosa la huyo dada kuwa mwaminifu kwa huyo bf wake aliyedhani atamuoa.
Hapo hana kosa basi tu ni kwamba aliyemuamini hajamuoa il atleast yeye alumsubiri bf wake siyo kama wengine akipata mwenye ela tu anambwaga mtu wake anakimbia
 
Sielewi unashangaa nini hapo, sijaona kosa la huyo binti. Alimpenda mtu wake na alikuwa mwaminifu kwake. Ila mwanaume ndio akazingua, sasa unachomlaumu ni nini? Kwani yeye Mungu useme alijua ataachwa na daktari!!!!

Hapo ndipo huwa siwaelewi wanaume aisee!!!
 
Mkuu,
Maisha ni cycle mwisho mnakutana kwenye point moja.
Ila namuombea huyo Dada apate mwanaume mwema.
Hakufanya kosa lolote kumkatalia rafiki yako.

Hata wewe jiulize ungekuwa unasubiria Binti umuoe halafu akaja Binti mwingine je , ungemwacha wako na kuoa mwingine!?

Pongezi sana kwa huyo Binti yuko very smart.
 
Tena pongezi haswa!!
Maana ingekuwa daktari ndio alikuwa serious alafu akamwaga na kumkimbilia rafiki wa jamaa basi hapo kweli angekuwa na tatizo. Ila alisimamia ktk kulilinda penzi lake kwa daktari ila jamaa ndio akazingua.

Yawezekana angeolewa na rafiki wa jamaa pia leo angekuwa na majuto mengine, huwezi jua Mungu alimuepusha na nini kwao wote.
 
Sioni wanaume tukimlaumu huyo Daktari kama mkosefu kwasababu yeye ndie alie muacha binti.
Hapa naona wanaume wengi tukimlaumu binti kwa kutopata maono kwamba ataachwa na Daktari, ilhali binti alikuwa anajitunza na kufanya uaminifu kwa mchumba wake huyo.

Kwa uzoefu wangu kwenye mahusiano, watu wengi tunapenda sana kujadili matokeo/ outcomes/ results, kuliko kujadili root causes ambazo ndio hasa tatizo kubwa katika mahusiano
 
Kwani wote waliomkubalia aliwaoa?!


Mimi kuna wanawake walinikataa na maisha yao sasa ni mazuri zaidi yangu mpk naona ningewaharibia maisha tu na wapo walionikataa na hawajaolewa mpk leo lkn nina uhakika hata wangenikubali nisingewaoa.


Baada ya kusema haya haina maana nikienda pm ya mtu ndio anikatae
 
Inasikitisha sana...

Siku hizi uvumilivu hakuna kabisa, siyo kwa wanawake hata wanaume...
Wanawake wakisubiriwa wanakuja kuzingua, wanaume wakisubirishwa nao huzingua...


cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…