hapo umenena bby nadhani wale chini wameoza kwa kweli unakuta mdada ana makucha kabandika kapaka rangi tofauti tofauti unajiuliza jini au binadamu...ina maana hajichambi ....
juu kaweka minywele ya rasta mkisimama kwnye daladala unatamani kumwambia dada hujisikii unanuka???tubadilike loooo
ni bora umenena karucee mana mi nilipanga nifungue ladieswash{badala ya carwash)
Pafyumu zinaficha mengi asikwambie mtu hasa wakaka anaweza asioge hata siku 3 ananawa uso tu anapiga pamba fresh pafyumu yake iko wapi fyuuuu ndo imetoka io na madem anaingiza kama kawa wakimaliza yakwao unaona wanasindikizana bila hata kuoga anazunguka weee kuja kumuona usiku kwakwel we differ..
namkubalia Karucee kabisaaa...kuna wanaume wanaonukia balaa tena akikuhug scent yake ibaki uuwiii ul imagne of so many thngs..jamani..cleanliness is of vital importance in attraction
kuna msafi kuzidi mm?
kuna msafi kuzidi mm?