Wanawake Ishini Maisha ya Uhalisia

Mkuu kitu kidogo tu unakuja kusema huku je Mimi niliemtia mimba beki tatu unajua sahivi nahali mbaya kiasi gani..?

Muda mwengine najikuta tu nakemea fire fire fire! Lakini sauti nyengine inaniamba "ushakuwa baba Sasa acha ujinga"
 
[emoji23][emoji23]

Ni la moto
 
Sheria za ulevi ukiitwa kwenye bia kama unywi bia ulizokuta kwa meza kua mpole au agiza za kwako, baada ya hapo waliokuita wataamua walipie bill au laah
 
Ndiyo walivyo; lengo waonekane classic au wa gharama lakini pia lengo atumbue pesa zako vibaya. Kesho utamkuta anapiga KONYAGI
 
Duniani wawili wawili itakuwa umemfananisha
 
Wakuu Jana Kuna mdada tulimpa offer akasema huwa hanywi local bia.

Akanywa desperados za kutosha.

Sasa Leo nimemkuta Sinza Mori Anagonga Serengeti Lite Kaona Aibu Kinyama [emoji23][emoji23]
Atakua anakaa Buza uyo
 
Na bado, katika mizunguko yako ipo siku utamkuta anapiga kiwingu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…