Kama umemwelewa anamaanisha kama wewe unamfanyia hivyo mwanamke wako basi wewe ni mwanaume mpumbavu. Rudia thread yake uisome vizuri.Sijakuelewa unamaanisha nini mkuu, kama wewe huwezi kufanya ayo mambo sisi tunawafanyia kila siku
Acha movie sana..mwanamke ishu ni umfraishe katika maisha ya kawaida na kitandan..WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW
ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,
Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he takecareoff
Ladies wanapenda yule mwanaume kukiwa na barid anakutolea koti yake uvae na ni yeye anakuvalisha
Yule mwanaume mkicross kwa barabara anakushika mkono na anakubebea handbag ......
Now the problems is......... ........
Akuna MWANAUME Mpumbavu kias hicho akunaaaaaaaaa
WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW

Hapo chacha.....Baba chanja wangu ananibebea mpk handbag tukifuatana hajali wingi wa watu wala kitu gani., yan ananijali kwa kweli na Mungu ampe maisha marefu.
Ila akirudi tu kazini anashinda na simu yangu masaa yote yan kama yake vile., kwa vile sinaga vijanaume vya nje yan namwachia tu akae nayo mpk anachoka