Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

Godlisten Masawe

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
738
283
attachment.php
Utafiti mpya na wa kina kabisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi.

Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatia vigezo vya kibinadamu, saa 5 usiku siku ya Jumamosi ndiyo muda ambao wanawake wengi wanajisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa kuliko muda mwingine wowote katika siku saba za wiki.
Asilimia 85 ya wanawake waliohojiwa katika utafiti wa kiafya, walikiri kufanya kujisikia zaidi hali yakutaka kufanya mapenzi muda huo katika siku ya Jumamosi kuliko muda mwingine wowote.

Utafiti mkubwa ulifanywa katika nchi za Kusini Mashariki, Magharibi Mashariki na meneo ya Scotland ambapo wanawake walisema muda huo mwili wenyewe huwa unahitaji kukutana kimwili na wanaume wenye uzoefu wanalijua hilo bila kuombwa wanapokuwa kitandani.

attachment.php

Aidha, utafiti mwingine umebaini kwamba, asilimia 75 ya wanawake duniani kote wanapenda kufanya mapenzi mara tatu kwa wiki, ikiwemo siku hiyo ya Jumamosi.

Kazi iko pale ambapo utafiti umeonyesha kuwa asilimia 25 ya wanawake duniani kote hupenda kufanya mapenzi kila siku katika muda wa siku saba. Kundi hili la wanawake ndilo linalohusika zaidi na usaliti katika uhusiano na pia watafiti wanadai kuwa, katika asilimia hiyo 25, 23 hukumbwa na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    14.6 KB · Views: 1,579
  • 2.jpg
    2.jpg
    17.1 KB · Views: 1,796
Hapo kwenye siku naomba ufafanuzi,siku inahusiana vp na hisia za mtu?Hivi tukiamua j4 iwe jumamosi,je hisia zao zitahamia jumamosi mpya?
 
mie nashindwa kubisha na kukubali.

Kwa wanaofanya kazi inawezekana weekend wanakuwa wametulia.

Ila kwa wanaoshinda home labda wao ndo wana nguvu za siku 365 na 1/2

Hapo kwenye siku naomba ufafanuzi,siku inahusiana vp na hisia za mtu?Hivi tukiamua j4 iwe jumamosi,je hisia zao zitahamia jumamosi mpya?
 
Kongosho,nilipata mawazo kama yako wakati nasoma huu uzi,lakini suala la w/end tunalo mimi na wewe.Kuna watu wanapumzika pale wanapopata muda huo,kuna watu j'si ni siku kama j3.Mtoa mada angesema uchunguzi huo ulifanywa eneo moja lenye mtazamo wa aina moja wa kiimani na maisha kwa ujumla ningemuelewa.Hii haiwahusu wanadamu wa dunia nzima!
 
Last edited by a moderator:
Sa tano usiku jmosi mars nyingi wanawake wengi wako out kama sio dinner basi pub/club huo mda wa kufanya mapenzi watautoa wapi...
 
Mh! ngoja mi nipite zangu mana mi huwa nampiga kazi kimeo changu muda wowote!! .........
 
mmmmmmmmmmmhhhh.... na wanaopenda kufanya jutatatu hadi jumamosi wanaangukia kwenye kundi gani?
 
Mada hizi za kipuuzi, hebu sema baada ya huo utafiti wako nini kinafwata, 1. Watu wajaribu? Waseme nini! Mnashindwa kusaidia kuleta hoja zenye maana kazi zenu mapenzi, si umeona mwenyewe asilimia 25 wakware na wewe unaingia humO! Fanyeni kazi achaneni na mapenzi, wazungu wenyewe unaosema wanasex popote, mkeo anaweza? Wale wanapeana mapenzi anapohisi anataka sio kama sisi tunajificha halafu huko porini mafichoni ndiko tunapigia viuno ukimwi. Kwanza sitaki kusema sana hapa NA NDIO MAANA HATA NYIMBO ZA KIBONGO NYINGI MAPENZI MAPENZI TU, HIZI ZOTE NI DALILI ZA MALEZI MABOVU, HUKU MAMA NA BABA WANAPIGANA! WATOTO WAKIWA WAKUBWA WANAIBA NYIMBO REFLECTING MATATIZO KWAO, NA HUWA SINGO NA ALBAM ZA MAPENZI. TUTOKENI HUKU TUFANYE KAZI,


O.k unajua title ya hili jukwaa?halafu una contents nzuri sana ila presentation ndo zero ingekuwa unadefend paper ungerudia.ungeweza tu kupresent bila kashfa
 
Nitajaribu kwenda kwa jiran kila jumamos masaa hayo nione kama atanipa penz.
 
hii ni mupya
mostly saa hizo ndo wanarudi kutoka kwenye kitchen parties lol
au ndo wanarudi kutoka kwa vidumu?lol
 
Back
Top Bottom