Wanawake hukubali kufanya mapenzi kinyume na maumbile wakidhani wanawaridhisha wapenzi wao

Status
Not open for further replies.

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
678
Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana, ni watu walioumbwa na true love sana huwa wakienda wamependa ndiyo wanaoumia zaidi yetu sisi wanaume, huwa wanajiheshimu sana kutoka nje ya mahusiano kwa mwanamke ni mara chache sana na hii hufanya baada ya kuumizwa sana na sasa wanaume ndiyo maana wamekua na roho mbaya sana wasiwaze tena kupenda bali ni kukomoa mwanaume kwa kutuchuna wanawaza ela tu na good life, bata nk.

Mimi kuna sametime msichana huniambia nakupa tigo ili nikuridhishe mpenzi but dah kiukweli mwanaume haritdiki hata kidogo. Hili limefanya kina dada wengi kuongoza kwa kasi utoaji wa tigo sana huu mchezo umekuwa kwa kasi ya ajabu hadi kwenye ndoa ni siri ya mfanyaji na mfanywaji ila wanawake wanaumizwa na kutendwa.

Hivi mwanamke akupe back alafu bado akukute unatoka nje tumewafanya hawa viumbe wawe wana roho mbaya kwa tunavyowatenda kwa kuwaumiza na kuwafanya mapenzikinyumena maumbile, hivi wanasikaga raha kufanywa hivyo au uchungu? Maana wengine hutegeshea wenyewe sasa sijui ni ili akudatishe au ndio unakua mchezo wake?

Tupige magoti tusali dunia imeharibika sana.
 
Ni ujinga kukubali kila unachoambiwa.

Lakini mwisho wa siku kila mtu na stratehe Zake.
Mambo ya chumbani mwa watu hayatuhusu. Unless kama na wewe unataka kujifunza.
Ni lazima kujaribu,kama hutajaribu unaweza kujikuta unakosa utamu wa kitu adiiiiimu sana,na hiyo sio nzuri kimaisha maana kuna asali iliyojificha pangoni na ni lazima ujitume kuipata,na ukisha ipata utajilaumu kwa nini hukuenda pangoni toka mwanzo wa maisha ya naniliu mamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom