Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Mara nyingi mahusiano kati ya baba na mtoto huwa sio mzuri haswa kwa wazazi waliokwisha tengana.
Hili suala nimelifatilia kwa kina kabisa wala sibahatishi, unakuta mama anamsema vibaya baba wa mtoto hii inamjengea chuki mtoto kwa baba yake mwisho mahusiano hasa mawasiliano yanakuwa dhaifu sana.
Wanawake tuwe nao makini sana unaweza kuwa unatuma matumizi lkn bado ukasemwa vibaya na huyohuyo unaemtumia pesa za matumizi ya mtoto.
Wanaume tumeumbiwa mateso sawa lkn wanawake msisababishe ugomvi na watoto wetu .
Kwa mfano kauli kama hizi mbele ya watoto.
Yaan huyu baba ako bila mimi usingesoma chuo?
Watoto tunaowatafutia mwisho wa siku wanaimba nani kama mama wamesahau mateso na maumivu ya baba zao.
Mwisho, wanawake acheni kukochea chuki kuwalisha watoto maneno mabaya.