Wanawake hizo hela mnapeleka wapi....

Wanawake hizo hela mnapeleka wapi....

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari zenu wanajamii forum.Kama mnavyujua miaka ya karibuni wanawake wamekuwa kimaslahi zaidi yaani macho yapo kwenye pesa lakini mimi binafsi najiuliza hizo pesa wanapeleka wapi maana sioni mabadiliko yoyote yale kusema wana nyumba au wamenunua kiwanja au mnapeleka wapi tuambieni maana nyie ni wabahili sana halafu mnapenda sana kuhongwa wengi japo sio wote au huwa zinakwenda wap maana wengi hamna watoto sasa hela zinakwenda wap.Ni mtazamo tu jamani sina ubaya
 
yale mamekapu yanauzwa ghali kweli kweli!
 
Huyu ni mstaarabu mwenye mshahara wa laki 3 hivi

1. Nywele 50000
2. USO 20000
4. Lips 10000
5. Masikio 20000
6. Kope 10000
7. Kucha 20000
8. Miguu 50000
9. Mikononi 10000
10. Kiunoni 10000
11. Kwapani 50000
12. Ukeni 30000
13. Chips 120000
14. Pochi 60000
15.
16.
17.
18.
19.
20.
Jumla 1000000, jazia hapo juu
 
Huyu ni mstaarabu mwenye mshahara wa laki 3 hivi

1. Nyele 50000
2. USO 20000
4. Lips 10000
5. Masikio 20000
6. Kope 10000
7. Kucha 20000
8. Miguu 50000
9. Mikononi 10000
10. Kiunoni 10000
11. Kwapani 50000
12. Ukeni 30000
13. Chips 120000
14.
15.
16.
Jumla 1000000
Sijaelewa. Ananunua miguu mipya na masikio na kuanzisha biashara ya chipsi sio?
 
Mleta uzi wewe Ni mwanaume sina shaka kabisa na hili. Jibu maswali haya

1. Ni lini umemnunulia taulo (towel) baba yako ?
2. Ni lini umenunulia sofa set baba yako
3. Ni lini umemnunulia boxers au nguo za ndani baba yako?
4. Ni lini umenunulia sandals baba yako?
5. Ni lini umemnulia vest baba yako?
6. Ni lini umenunua mapazia Kwa ajili ya madirisha na milango kule nyumbani kwenu?
7. Ni lini umeenda kwenu likizo ukakaa angalau siku 7 na kutoa matumizi kila asubuhi au kufanya shopping ya nguvu Kama hakuna msiba wala ugonjwa Ni likizo tu?
8. Ni lini umeingia dukani kununua vyombo Kwa ajili ya kupeleka nyumbani kwenu?
9. Ni lini umewahi kuwahudumia wazazi wako Kwa miezi miwili mfululizo?
10. Ni lini umewahi kuwabadilishia Kitanda na godoro wazazi wako?

Kama wazazi wako wapo hai hayo kumi tu kati ya mengi ambayo mwanamke anayafanya. Kwa taarifa yako mwanamke ana majukumu hadi Kwa mama mkwe wake yaani mama yako wewe sasa wewe endelea kujiuliza pesa za mwanamke zinapoenda wakati wewe pesa zako zinatoka bank zinaelekea Kwenye matumizi yako binafsi zaidi.

Wanaume nyie hayo hamuyafanyi na uwezo mnao kabisa sijui pesa zenu zinaishia wapi na nyie?
 
ok nimekuelewa lakini wanaume kama unavyojua wanadili na mega responsibilities,hata kama hutapeleka hivyo vitu hapo juu lakini kidume utajikunja hata ununue kiwanja
 
Mkuu mimi ni mwanaume lakini najua kila mtu ana vipaumbele vyake. Wewe unachoona ni muhimu (kama nyumba etc) kwa mwingine hiyo labda haiko kwenye listi ya vitu vinavyompa furaha. Labda yeye anahitaji gari zaidi au kuvaa vizuri, vipodozi, nywele/saluni n.k n.k.

Of course si kweli kuwa wengi hawafanyi mambo ya maendeleo. Mimi ninaelewa kuwa wapo wanawake wajanja waliojenga nyumba na kuanzisha miradi ya maana kutokana na sapoti (sipendagi kuita kuhongwa kwasababu msimamo wangu binafsi ni kuwa mwanaume ana wajibu wa kumsaidia mpenzi wake ili awe bora zaidi ya alivyomkuta!!) ya wapenzi wao.

Lakini pia wengine wanaangalia leo zaidi na wanaamini kesho itajiseti yenyewe. Watu wako unique brother na hata interests zao ziko tofauti. Ni ngumu kuwa na jibu moja. Haya mambo sio One Size Fits All phenomenon.

Nashauri uwatafute wakiwa wanahongwa au unawahonga uwaulize ili wakueleze pesa zetu tunazowapa huwa wanazipeleka wapi.
 
Mleta uzi wewe Ni mwanaume sina shaka kabisa na hili. Jibu maswali haya

1. Ni lini umemnunulia taulo (towel) baba yako ?
2. Ni lini umenunulia sofa set baba yako
3. Ni lini umemnunulia boxers au nguo za ndani baba yako?
4. Ni lini umenunulia sandals baba yako?
5. Ni lini umemnulia vest baba yako?
6. Ni lini umenunua mapazia Kwa ajili ya madirisha na milango kule nyumbani kwenu?
7. Ni lini umeenda kwenu likizo ukakaa angalau siku 7 na kutoa matumizi kila asubuhi au kufanya shopping ya nguvu Kama hakuna msiba wala ugonjwa Ni likizo tu?
8. Ni lini umeingia dukani kununua vyombo Kwa ajili ya kupeleka nyumbani kwenu?
9. Ni lini umewahi kuwahudumia wazazi wako Kwa miezi miwili mfululizo?
10. Ni lini umewahi kuwabadilishia Kitanda na godoro wazazi wako?

Kama wazazi wako wapo hai hayo kumi tu kati ya mengi ambayo mwanamke anayafanya. Kwa taarifa yako mwanamke ana majukumu hadi Kwa mama mkwe wake yaani mama yako wewe sasa wewe endelea kujiuliza pesa za mwanamke zinapoenda wakati wewe pesa zako zinatoka bank zinaelekea Kwenye matumizi yako binafsi zaidi.

Wanaume nyie hayo hamuyafanyi na uwezo mnao kabisa sijui pesa zenu zinaishia wapi na nyie?
Sio kwa wanawake wa siku hizi. Siku hizi wanazaa watoto halafu wanawaacha walelewe na wazazi wao. Wakwe zake ni maadui wakubwa na kuwaita wachawi. Yupo radhi kusuka nywele za laki 3 kuliko kumsaidia baba yake mzee pesa ya matumizi. Dunia ya leo sio ya jana ya kuthamini wazee wetu.
 
Nakupa bigup kwa kuongea ukweli we nizaidi ya mama, hongera sana
Mleta uzi wewe Ni mwanaume sina shaka kabisa na hili. Jibu maswali haya

1. Ni lini umemnunulia taulo (towel) baba yako ?
2. Ni lini umenunulia sofa set baba yako
3. Ni lini umemnunulia boxers au nguo za ndani baba yako?
4. Ni lini umenunulia sandals baba yako?
5. Ni lini umemnulia vest baba yako?
6. Ni lini umenunua mapazia Kwa ajili ya madirisha na milango kule nyumbani kwenu?
7. Ni lini umeenda kwenu likizo ukakaa angalau siku 7 na kutoa matumizi kila asubuhi au kufanya shopping ya nguvu Kama hakuna msiba wala ugonjwa Ni likizo tu?
8. Ni lini umeingia dukani kununua vyombo Kwa ajili ya kupeleka nyumbani kwenu?
9. Ni lini umewahi kuwahudumia wazazi wako Kwa miezi miwili mfululizo?
10. Ni lini umewahi kuwabadilishia Kitanda na godoro wazazi wako?

Kama wazazi wako wapo hai hayo kumi tu kati ya mengi ambayo mwanamke anayafanya. Kwa taarifa yako mwanamke ana majukumu hadi Kwa mama mkwe wake yaani mama yako wewe sasa wewe endelea kujiuliza pesa za mwanamke zinapoenda wakati wewe pesa zako zinatoka bank zinaelekea Kwenye matumizi yako binafsi zaidi.

Wanaume nyie hayo hamuyafanyi na uwezo mnao kabisa sijui pesa zenu zinaishia wapi na nyie?
 
Mleta uzi wewe Ni mwanaume sina shaka kabisa na hili. Jibu maswali haya

1. Ni lini umemnunulia taulo (towel) baba yako ?
2. Ni lini umenunulia sofa set baba yako
3. Ni lini umemnunulia boxers au nguo za ndani baba yako?
4. Ni lini umenunulia sandals baba yako?
5. Ni lini umemnulia vest baba yako?
6. Ni lini umenunua mapazia Kwa ajili ya madirisha na milango kule nyumbani kwenu?
7. Ni lini umeenda kwenu likizo ukakaa angalau siku 7 na kutoa matumizi kila asubuhi au kufanya shopping ya nguvu Kama hakuna msiba wala ugonjwa Ni likizo tu?
8. Ni lini umeingia dukani kununua vyombo Kwa ajili ya kupeleka nyumbani kwenu?
9. Ni lini umewahi kuwahudumia wazazi wako Kwa miezi miwili mfululizo?
10. Ni lini umewahi kuwabadilishia Kitanda na godoro wazazi wako?

Kama wazazi wako wapo hai hayo kumi tu kati ya mengi ambayo mwanamke anayafanya. Kwa taarifa yako mwanamke ana majukumu hadi Kwa mama mkwe wake yaani mama yako wewe sasa wewe endelea kujiuliza pesa za mwanamke zinapoenda wakati wewe pesa zako zinatoka bank zinaelekea Kwenye matumizi yako binafsi zaidi.

Wanaume nyie hayo hamuyafanyi na uwezo mnao kabisa sijui pesa zenu zinaishia wapi na nyie?

Katika wanawake mia anayemjali mkwe wake ni mmoja kati yao.....hata huyo mmoja anaongozwa na unafiki.....
 
we ushawahi kuona wapi hela ya laana dhuluma biashara haramu inaonekanaga?
 
Tanga kunani eti huyu ni mzee wa msoga.
 
Attachments

  • FB_IMG_1465728017294.jpg
    FB_IMG_1465728017294.jpg
    14.4 KB · Views: 38
Back
Top Bottom