Wanaume hamjui hata mnachokitaka
Wakwangu
Naamka asubuh naweka maji yamoto namchagulia nguo namnyooshea nablush viatu namuandalia Sox, boxer, vest na kitambaa Cha mkononi , kitambulisho cha kazin , funguo na Kalam napeleka maji
Najitahidi usafi aisee
Chakula hasa Cha jion hata nichelewe vp kazin napika Mimi
Kitandan najitahidi
Tukimaliza sex namfuta na kitambaa lain ..
Yan hakuna kazi anayoweza nikisafir hajui kila kitu kilipo
Pamoja na hayo yote anatoka nje yaan nyie Mungu awasaidie tu