KUDOLE CHA MWISHO
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 407
- 898
Ngoja tuwasubirSubiria kwanza, bado wanajiandaa na mtoko wa Weekend.
Watakuja baadae ku-comment
[emoji3][emoji3]hayo tu basi umemaliza....!
pata raha kwa kawimbo PAKA MAPEPE
Kwl hv ukijiweka hvyoo! Naamin jamaaa atakupendaa sanaNimekusikia, nakwambia nitabadilika
Kaka ako atakuja kukupa feedback
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanchomeka betri huko
Hili jiwe limekupata mkuuUkishaona Mwanaume anamlalamikia na kumsukumizia Mwanamke matatizo ujue huyo siyo real man, real man hategemei kufanyiwa na kuhudumiwa na Mwanamke kama mtoto, sasa akufanyie hayo yote na mtoto wake amfanyie nini? Na atakuwa na watoto wangapi wa kujali kama na wewe ni mtoto pia?
Hili jiwe limekupata mkuu
Samahani mkuu kama nimekupata nisameheee sijajua kama upo gizan[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Hapana, kwa nini? Niko real tu, kwamba usiingie kwenye Mahusiano ukitegemea kuhudumiwa, wewe siyo mtoto mdogo, kumbuka hata huyo Mwanamke naye ana mahitaji pia.
Samahani mkuu kama nimekupata nisameheee sijajua kama upo gizan[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
unavosema mwanaume asitegemee kuhudumiwa, unazingumzia huduma kama zipi ambazo asitegemee?Hapana, kwa nini? Niko real tu, kwamba usiingie kwenye Mahusiano ukitegemea kuhudumiwa, wewe siyo mtoto mdogo, kumbuka hata huyo Mwanamke naye ana mahitaji pia.
unavosema mwanaume asitegemee kuhudumiwa, unazingumzia huduma kama zipi ambazo asitegemee?
mimi sijataja zozote ndo mana nataka kuzifahamu.Hizo ulizozitaja za kulelewa na kufanyiwa kila kitu kama mtoto.