Wanawake hebu tujitahidi sasa kujishusha kwa wanaume wetu Ili kunusuru hali

Status
Not open for further replies.
yani wewe acha mie na mtihani mkubwa niko kwenye njia panda talaka mbili na mtu ajajifunza bado, mie kero namba moja whatsapp groups chat , ana chat na wakwe zangu kuwapa umbea wangu yani hakuna stara kwenye ndoa mbaya zaidi tumezaaa yani, nikikutana na mdada mzuri katulia mpaka roho inauma natamani nimuoe hapo hapo nikimbie nae ughaibuni,arrggghhhhhhh nyie wanawake mbadilikee jamani, jeuri jeuri jeuri

Dah, mwenzetu umeoa stress....pole lakini.
 
Asee, Itabidi tuanze mazoezi mdogo mdogo hata ya kukimbia kwanza, and then tuingie fasi ya pili kunyanyua vitu vizito, then tumalize na kuviweka mgongoni.

hahahahahaa had ukafuzu si ashaibiwa!sipendag kusikia neno hilo ohh kuwa macho mumeo watakuibia hahahaha najibugi kwan mm siwez kuibiwa!cha
 
hahahahahahahahahaa Reina nimetoa chai yooote mdomoni jaman hebu punguza bas makeke!1hhahahaha nimec heka sana jaman!stry za kusquirt unaziskia humu hahahaha ww huelew kitu sana sana unatoka na michubuko fyuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa hisia zipi kwanza ulizonazo?jitu daily linanuka castle
Hahahahaha...mwanaume mpaka vinyweleo vinatema lager
 
Wao tu ndo wa kufika kileleni. Wewe kilele utakisikia jf....mfyuuuu
Ahahahaaaaaa uwiii nilijua nipo mwenyewe kumbe tupo wengi, hata hivyo angepatikana mtumishi mmoja expert wa kuwaombea hawa wanaume labda watabadilika na wanavyojiona watakatifu jamani mechoka kwakweli ndoa yangu imenichosha imefikia hatua mpaka naficha albums wedding kwenye tranka la mtoto inahusu ingekuwa kwa wenzetu ningeomba nipate msaidizi walau nipumzike na hivi vihoja loooh
 
hahhhhhahhahahahahhhhah bora ungeendelea kukaa kimya walah maana umetibuka haswaaaa!hahaahahahah! sijui nani kakuibua jamn~huogopi kuitwa mwanamke mjinga huvunja nndoa yake mwenyew
Acha ivunjike tuu, ni bora kuitwa mjinga lakini nina amani ya moyo kuliko kukumbatia upumbavu huku naugulia moyoni, mechoka na ndoa yangu acha niseme nipate relief
Lakini hapana aiseeh wanaume ni nyokoo
 
Ahahahaaaaaa uwiii nilijua nipo mwenyewe kumbe tupo wengi, hata hivyo angepatikana mtumishi mmoja expert wa kuwaombea hawa wanaume labda watabadilika na wanavyojiona watakatifu jamani mechoka kwakweli ndoa yangu imenichosha imefikia hatua mpaka naficha albums wedding kwenye tranka la mtoto inahusu ingekuwa kwa wenzetu ningeomba nipate msaidizi walau nipumzike na hivi vihoja loooh

hahhahahahahhahhahahahahahahhahahhahahahhahhaha neyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy!kun kipindi nilikua na stress bas nikakutana na mama mmoja hv hotel 1 nikamhadithiaa wee akasema nkwanza unakaa sana ndan ukitoka kazini fganya kazi wknd jipe mtoko hapo ananitukana ananishangaa balaa kwann nipo hvyo yaan toka hapooooo !mm najipa mitoko had raha ,nabeba wanangu haooo kuenjoy!yaan mume nw ndo anaamka mie sipo hukooo nishaamka na kuzindukaaa!nafikiria dec kwenda zenji kbs na wanangu mxiew!mwanaume gan hufeel na mkeo anataka enjoyment!nan kasema nimekuja kula na kuzaa kwako! viwanja vyooote vitamu mke hujawah pelekwa ila unaletewa tu mapochopocho kwan mie mtoto au bek 3??ala
 
Wanawake wa leo hii hii mada wanaiona kama vile wapoteza muda kuusoma ni wachache wanaoweza kuifanyia kazi tena labda wale ambao ni wacha Mungu saaaana lakini kuna wanawake leo hii unamshauri hashauriki ila anajiamini kwamba hata yeye una uwezo kimaisha sana sana akiwa amesomea vitu kama Nursing, daadhi hawashauriki kwenye ndoa zao utasikia
Nimheshimu mimi kwanza nafanya kazi hapa lakini pia ni uwezo wa kwenda kufungua duka naacha hii kazi nikaendelea na maisha yangu vizuri

Kwa kweli kizazi hiki wanawake hawashauriki
 
hahhaha ney bado nacheka aic dah eti unaficha kwa tranka
 
Wanawake wa leo hii hii mada wanaiona kama vile wapoteza muda kuusoma ni wachache wanaoweza kuifanyia kazi tena labda wale ambao ni wacha Mungu saaaana lakini kuna wanawake leo hii unamshauri hashauriki ila anajiamini kwamba hata yeye una uwezo kimaisha sana sana akiwa amesomea vitu kama Nursing, daadhi hawashauriki kwenye ndoa zao utasikia
Nimheshimu mimi kwanza nafanya kazi hapa lakini pia ni uwezo wa kwenda kufungua duka naacha hii kazi nikaendelea na maisha yangu vizuri

Kwa kweli kizazi hiki wanawake hawashauriki

ww unamtendea mema mkeo?au unatak utendewe mema ww tu kisa mwanaunme!jiangalie wap unakosea,
 
Ahahahaaaaaa uwiii nilijua nipo mwenyewe kumbe tupo wengi, hata hivyo angepatikana mtumishi mmoja expert wa kuwaombea hawa wanaume labda watabadilika na wanavyojiona watakatifu jamani mechoka kwakweli ndoa yangu imenichosha imefikia hatua mpaka naficha albums wedding kwenye tranka la mtoto inahusu ingekuwa kwa wenzetu ningeomba nipate msaidizi walau nipumzike na hivi vihoja loooh
Haombewi mtu hapa. Kila mmoja abebe msalaba wake. Waombewe ili iweje? Sisi hatuhitaji kuombewa?

My dear ney, njia pekee ya kujikomboa ni ku focus on yourself. Achana na mume, watoto, sijui wazazi, ndugu, marafiki...focus on yourself baby girl. It's called self love. Love yourself unconditionally.

Huwezi kumpenda mume au mtu mwingine kama wewe hujipendi kwanza. Maisha mafupi mamii, usikubali kijikaratasi ulichotia saini kanisani kiwe ndo hukumu yako ya kifo. It's never too late baby.

Kama una watoto utawaleaje ukiwa na stress? Huoni utakuwa huwatendei haki?

Pole sana... I feel u

Kuna mke wa ndugu yangu hana hata miezi miwili kajifungua kwa operation mumewe anampiga bila huruma. Huwa naumia sana.

Wanawake let's love ourselves first jamani.
Furaha yako iko mikononi mwako.
 
hahhahahahahhahhahahahahahahhahahhahahahhahhaha neyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy!kun kipindi nilikua na stress bas nikakutana na mama mmoja hv hotel 1 nikamhadithiaa wee akasema nkwanza unakaa sana ndan ukitoka kazini fganya kazi wknd jipe mtoko hapo ananitukana ananishangaa balaa kwann nipo hvyo yaan toka hapooooo !mm najipa mitoko had raha ,nabeba wanangu haooo kuenjoy!yaan mume nw ndo anaamka mie sipo hukooo nishaamka na kuzindukaaa!nafikiria dec kwenda zenji kbs na wanangu mxiew!mwanaume gan hufeel na mkeo anataka enjoyment!nan kasema nimekuja kula na kuzaa kwako! viwanja vyooote vitamu mke hujawah pelekwa ila unaletewa tu mapochopocho kwan mie mtoto au bek 3??ala
Acha kabisa ndugu, kila mtu ananishauri nifanye hivyo hivyo naumia nateseka jamani kibaya zaidi nampenda sana nadhani nilizuzuka na kuwehuka alipo nikojoza mwanzoni sasahivi najuta mama hata hicho kilele naishia kukiona kwenye tangazo la kilimanjaro larger
Pumbavu kabisa ndio maana pete zake naamua kuziacha kwenye dressing table maana sioni hata umuhimu wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom