Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 26,833
- 50,016
Hahahhah tujiue kwa lipi? Huo ndo ukweli wanawake tukicheat ujue moyo umehamia huko. Kuhusu nyie wanaume kwamba mkicheat sio kwamba hamuwapendi wake zenu hapo sielewi. Yani wanawake tungekua kama wanyama wwngine tungefanya mapenzi wakati wa heat tuu, thats why tunatafutaga reason ya kufanya mapenzi na reason hyo ni Love.Wanawake wakisoma hii watajiua.