Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,574
48,725
Kabla ya yote..Picha haihusiani na story ni mfano tu wadau!

Mungu alituumba wanawake na roho nyepesi na huruma sana, tupo simple sana sema wanaume mmefanya dunia kuwa sehemu ngumu ya kuishi.

Niwapeni siri, wewe mwanaume hata uwe tajiri kiasi gani na hela za kuhonga kiasi gani kama wewe una sura nzuri halafu unapenda sana kupigilia pamba yaani ile unajipenda penda sana ni nadra sana kupata mwanamke makini wa kukupenda na kukufurahia hata uwe bilionea wanawake wengi tunapenda wanaume wenye sura isiyoelezeka na anaevaa kiume standard. Standard namaanisha kama ni kazini utamkuta na nguo za kazini za kawaida shati safi mikono mirefu kachomeka na kiatu cha kudumbukiza fresh.

Siku za kawaida jeans na tshirt na raba au sendoz, mwanaume anaenukia marashi yake kwa mbaali plus kikwapa cha mbaali hadi nyege zinakupanda si mnajua tena kwapa la mwanaume linamtoa nyoka pangoni? Na nywele zake kazinyoa tu kawaida.
Siku hizi nashangaa unakutana na mwanaume kajilipualipua unajiuliza huyu akifumaniwa anaanza kuvaa nini?
17494570_1709586272673470_7269433054165204992_n-jpg.492777

Yaani kaka zangu na wadogo zangu nawaambieni kama wewe ni mzuri jua tu mkeo au mpenzi wako yupo mahali anakojoleshwa na mwenye sura ya kiume. Wanawake ndo tulivyo tunapenda wanaume wenye sura mbaya na waliokaa rafu ili hata nguo tuwanunulie wenyewe na kuwapendezesha wenyewe. Mwanaume unajua kujipendezesha kila kitu unajua wewe kuvaa na kunukia ni ngumu kwa kweli utasaidiwa sana hata kama hela unayo.

So ni hivi acheni ndevu ziote ote acheni kulala saluni na harufu ya vikwapa tuisikie.
 

Attachments

  • 17494570_1709586272673470_7269433054165204992_n.jpg
    17494570_1709586272673470_7269433054165204992_n.jpg
    110.9 KB · Views: 1,439
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
 
Duh, huo uchafu unaupenda wewe bhana...Nadhani siku nikianza uchafu ndio itakuwa Omega kwa bibie kuwa nami!
 
ebu subiri nivunge siku tatu bila kuoga alafu naenda kutongoza uku na smell kama beberu... naamini atanikubali tu! kwa mujibu wa Miss Natafuta
sijasema usioge oga ila sio mwanaume unapaka deodorant,unapuliza tena body spray na pafyumu unanukia kuliko hata dada zako bna?
miss yamekuwa hayo.............?????
 
Back
Top Bottom