mie mwenyew nimefikiria huko..imagine unakua na jiran yako mwanaume mwenye vigezo vya ISO..macho ya nyege nyegemie nitahama mtaa..
Wala sio ya nyegezi mkuu,wala sio supahendsam,ila nikiongea ukanasikiliza kuna mawili eidha utashawishika ama utanionea huruma.Yani ukitaka kwenda kuomba mkopo mahali ukienda na mimi alaf nikakusaidia kuongea hukosi mkopo.Hongera
Una macho ya nyegezi?
Wala sio ya nyegezi mkuu,wala sio supahendsam,ila nikiongea ukanasikiliza kuna mawili eidha utashawishika ama utanionea huruma.Yani ukitaka kwenda kuomba mkopo mahali ukienda na mimi alaf nikakusaidia kuongea hukosi mkopo.
Ningekuwa mwanasiasa saizi ningekuwa mbunge ama katibu mwenezi.
Na Mimi nataka nikutongozeSoon nitaweka waz
Asante. asa mkuu inamaana ukiwa umeokoka ndo hutakiwi kuwa na mpenzi,au we tayari ushaolewa?.Nguvu ya ushawishi
Hongera sana
mkuu tupiaaa tupiaaa name nione namna mnatongoza, alafu nawe Demiss uwe ngumu nijua namna mnakuwaga wagumuNimeshaachana naye we we nitongoze tu
Niko huko
Kuna jamaa mmoja nilikutana nae kwenye Kidia ya Arusha-Dar,
Nilimzimikia Ila nikakausha,
Mwezi uliopita nimegundua ni jirani yangu, juzi nimekutana nae kibanda cha chips,
Ameniangalia nikaloose control ikabidi nibadili gia angani nikaondoka
Yaani ana macho fulani hivi akikuangalia unalowa, sijui namkwepaje manake nimeokoka Ila shetani ananimendea kwa nguvu
hajanimaanisha mimi huyo
kwakuwa nina aibu sana naona tutaedana na @mangenelo
Hapa aibu nmeona mimiumeacha??hahaha sasa ww hesabu maumivu...!ishakula kwako hyo!mie kuna mkaka kilasiku napishana naye road alafu twaishi sehem 1 sijajua yy anaishi wapi excatly.. jaman kaka mtamuu.. had namba ya gari nimejikuta ipo kichwan...ila anaonekana ananata..akipita kwangu lazima apunguze mwendo uwiiii ananiangaliaga bas najifanyaga km sielewi kitu..pumbafu kbs ana jicho zuriiii..akikukhug huyo basi tena!sema mie mhenga!
umeacha??hahaha sasa ww hesabu maumivu...!ishakula kwako hyo!mie kuna mkaka kilasiku napishana naye road alafu twaishi sehem 1 sijajua yy anaishi wapi excatly.. jaman kaka mtamuu.. had namba ya gari nimejikuta ipo kichwan...ila anaonekana ananata..akipita kwangu lazima apunguze mwendo uwiiii ananiangaliaga bas najifanyaga km sielewi kitu..pumbafu kbs ana jicho zuriiii..akikukhug huyo basi tena!sema mie mhenga!
Hapa aibu nmeona mimi
Kumbe mane na wewe huaga unanikata jicho la wizi,
Hlf sio kweli kua nnanata ni basi kwa vile hatujazoena ndio maana unahisi hivyo,
Basi kuanzia kesho nikipita hapo kwenu nitakua nnakupa hi.
Hahahaahaa sio kweli banaaa mbona mi wa kawaida sanaunadhan naweza kukutongoza mie!never!haiwezekani..bas tu una jicho na umbo zuri.. ila una nataa
Eti maendeleo hayana chama,khaaMada yako inahusu kutongoza na sisi tumeunga mkono maana maendeleo hayana chama.
Jackie kwani we unataka kupingana na kauli ya mwenyekiti wetu kua maendeleo hayana chama?Eti maendeleo hayana chama,khaa
Watu mna maneno
Hpn,sipingi ht kdgJackie kwani we unataka kupingana na kauli ya mwenyekiti wetu kua maendeleo hayana chama?
DuhNingekuwa mods mbn watu wengi ningeshawa ban
Basi kuanzia leo mimi na wewe kwa pamoja naomba tuonyeshe juhudi na kuwathibitishia wana Jf kua ni kweli maendeleo hayana chama.Hpn,sipingi ht kdg