Wanawake chukueni huu ujanja

Wanawake chukueni huu ujanja

BIKIRA WA KISUKUMA Anajua Kama Unamcopy Na Kumpaste Huku?
Fanya Hata Acknowledgement Basi Maana Unapotosha Wasiojua Wanadhani Wewe Ndiye Unayetunga Na Kuandika.
Adios!
 
Yeye ndo ananicopy mimi.... Adios...
 
Nafikiri upo nje ya mada mkuu habari za kukojoza au kukojozwa sidhani kama ndo dhumuni La mtoa post
Acha ukuda..
unapajua nje ya mada wewe??
sasa uyo dada anayedai alipwe kwa kutoa papuchi kwani yy alikua hainjoi??
acha uboya
 
Jana nimemsema binamu yangu hadi kamrudishia Ex wake simu.

Ni ushamba uliopitiliza kumnyang'anya mtu vitu mlivyopeana kisa mumeachana.
Hahahahaha km namuina alivyokua mdogo km piriton
 
bora huyo ..
mimi x wangu mpaka kesho kutwa sijamthibitshia kama tumeachana ,japo tumeachana
kwa sababu ni anapiga simu za vitisho
mara ntakuroga usizae/usiolewe uwe kichaa
mara ntakutumia watu
mara utakoma ..ukiuliza ntakoma nini anakwambia subiri uone..
basi tabu tupu
Mwambie km yy anaroga nchi kavu wewe unaroga baharini
 
Acha ukuda..
unapajua nje ya mada wewe??
sasa uyo dada anayedai alipwe kwa kutoa papuchi kwani yy alikua hainjoi??
acha uboya
Hivi hawa vijana wa kihuni aina ya ufyudhi wanatoka wapi JF? Kukosolewa ndio ukuda? Wewe ni nani hata usikosolewa, soma uzi vizur ni wapi kuna dada amedai kulipwa!? Lengo La Uzi ni kuwaamsha kina dada wanaonunuliwa vitu na wapenz wao na baada ya penz kufa kuna baadhi ya wanaume huwanyang'anya vitu, mtoa Uzi amelenga kuwazindua hawa wadada, sasa sijui wewe umeyatoa wapi hayo mawazo yako
JITATHMINI NA KISHA UJIPE JIBU KUWA MIMI NA WEWE BOYA NI NANI?
 
Hapo ndo umekuja kistaarabu sasa..
mwanzoni ulikurupuka kidogo..
pamoja sana..
tuachane na hii coz sio lengo
 
Wanaume acheni upumbavu, mngekua mnajua mnapoteza nguvu na hakuna raha mnayoipata msinge tafuta wanawake kwa gharama kubwa,inashangaza sana wanaume wa siku hiz eti raha tunapata wote!! Sawa raga tunapata wote na kwann wewe mwanaume unakua wa kwanza kunitafuta kuitaka iyo raha ambayo kazi unafanya wewe malipo natakiwa kulipwa mie.
Mwanamke kama were ndo "dizaini"ya Wajapani. Kila gharama huwa wanachangia hakuna cha nani kaanza kumtekenya mwenzake ila kwa bongo mbeba zege analipia kila kitu hata kama KE ana kipato kikubwa.
 
Hivi hawa vijana wa kihuni aina ya ufyudhi wanatoka wapi JF? Kukosolewa ndio ukuda? Wewe ni nani hata usikosolewa, soma uzi vizur ni wapi kuna dada amedai kulipwa!? Lengo La Uzi ni kuwaamsha kina dada wanaonunuliwa vitu na wapenz wao na baada ya penz kufa kuna baadhi ya wanaume huwanyang'anya vitu, mtoa Uzi amelenga kuwazindua hawa wadada, sasa sijui wewe umeyatoa wapi hayo mawazo yako
JITATHMINI NA KISHA UJIPE JIBU KUWA MIMI NA WEWE BOYA NI NANI?
Huu ni mnyoosho O.G
 
Mjini kuna kitanda na KITANDA baba hahahaaa
Kitanda-ni kile anachochonga fundi seremala wa mtaani kwenu bei yake haizidi laki 3 kwa Dar
KITANDA ni kile kinachotokea maduka makubwa ya furniture na bei yake haipungui 1M kwenda juu sasa sijui unauliza kipi hapo
Aisee, nilikuwa sijui kama vina category,sasa si bora hicho kitanda cha laki tatu nilale kwa amani kuliko KITANDA cha 1M cha kunitoa roho? Lol, watu tumetofautiana sana
 
Back
Top Bottom