hapo hata mimi ningebomoa,mamiyakeJamaa alimjengea mchepuko nyumba tabata ya 3 room , sebule na jiko siku amemkuta na kidume ndani, alikodi catapilla lika bomoa, tuna tofautiana.
Punguza Hasira Muraa.... mwanamume hashindani na wanawake MuraaKwa taarifa yako ndugu kuna wanawake mjini siku hzi usipoangalia watakukomesha,hii kusema haki ya wanawake ni jipu la kuwafanya wawe na makusudi mazima ya kujiolesha kwa mtu mwenye uwezo then anamtibua ili waachane wagawane mali.wanawake kama hawa wamejaa mjini now japo kwa kule Musoma,Tarime,Sirali na maeneo yote hayo wanawake hao hua wanakwama,kama nilimnunulia kwa kupendana kwetu na aje anitibue ataviludisha,akisema alinipa utamu hata mimi nilimpa huo huo utamu,kwa nini wajichukulie kua wao wanatusaidia huo utamu ilihali hata sisi tunawapa?nakwambia atavirudisha
Kwani kinu na kikitwanga mchi au Nyundo ikigonga jiwe... Nani anayeumia???Hivi mwanamke kupigwa vinane nani anapoteza nguvu? Nani anapata raha zaidi? Nani anatakiwa kulipwa baada ya shughuli kama kigezo in WORK DONE=FORCE x DISTANCE (nani anasukuma, nani anasogea) OR WORK DONE = POWER x TIME TAKEN?
Duh..!Huwezi jua mkuu... Watu wana maisha magumu....usiwaone wanashine hayo ni maisha ya kuekti
Wa darMwanaume wa ukweli hawezi kudai alivyotoa labda awe wale wa wapi sijui wanaitwa
Hahahahabora huyo ..
mimi x wangu mpaka kesho kutwa sijamthibitshia kama tumeachana ,japo tumeachana
kwa sababu ni anapiga simu za vitisho
mara ntakuroga usizae/usiolewe uwe kichaa
mara ntakutumia watu
mara utakoma ..ukiuliza ntakoma nini anakwambia subiri uone..
basi tabu tupu
Anayeumia ni mgongajiKwani kinu na kikitwanga mchi au Nyundo ikigonga jiwe... Nani anayeumia???
Tutajuaje kama na wewe siyo mwanamke?(weka Picha)MBONA WANAO COMMENT HUMU WOTE NI WANAWAKE????
(isipokua mimi)
#Chief Eng.