Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 4,428
- 9,305
Hakika mzee 100% wanajionaga mwamba kweli ila kichwani magodoro tupuMungu alivyo wa ajaabu wanaume tu ndio tutaelewa huo ujumbe wako ila sio walengwa vinapita uku vinatokea uku🤣
Sio gays but uhalisia ni kwamba mwanamke hakomeshwi ......ww ndio unacheza nje ya beatYou sound gays
Alie kuambia yupo kwa ajiri ya kukomoa mwanamke nani.....? Mbona wenzio wameelewa nini kinaongelewa.Sio gays but uhalisia ni kwamba mwanamke hakomeshwi ......ww ndio unacheza nje ya beat
Ikikuganda ndio poa unaendelea kuteleza free hadi ikimbie yenyewe.....ila sema muda mwingine huwa zinatia huruma sanaSiku hz pisi kali tunaztengea laki 2,una hakikisha kabla ya kuimaliza hyo laki 2 iwe imeshaliwa
Tatzo huwa linakuja pale unapofanikiwa kuila kwa gharama kubwa na inaendelea kukuganda wakati wewe unataka kuikimbia,ukizembea unakuta inakula mpaka laki 5 kuelekea kwenye million ndan ya muda mfupi
PoleNikutengee bajeti gani mkuu nikukule
Kwanini uwaonee huruma km haikuumi kwani ww ni wakike mpaka uwaonee hurumaAlie kuambia yupo kwa ajiri ya kukomoa mwanamke nani.....? Mbona wenzio wameelewa nini kinaongelewa.
Mkuu ulijuaje kushika kalam na kuandika.....?
Sasa mbona hata mtoa mada ameelezea hivo pia. Ni vile tu amewasanua wadada kuwa wanaume huwa hawawakomeshi wanawake bali wanawake wanajikomesha wenyewe. Simple tu .Sio gays but uhalisia ni kwamba mwanamke hakomeshwi ......ww ndio unacheza nje ya beat
Pointless poem.Paka mwenye malengo hamli panya mwenye mimba.Ukiona amemla jua ni dharura tu lakini haikuwa lengo lake.Hakuna mwanaume mjanja kichwa kidogo kikifanya uamuzi.Utafuata tu upende usipendeUkibisha muulize Bill Clinton.Hakuna cha Rais wala kuli..Akili huwa zinarudi kwenye kichwa kikubwa baada ya tendo.Majuto ni mjukuu
Hakuna mwanaume anaejitambua, akaumizwa na mwanamke. NEVER. Sio kiuchumi, kisiasa Wala kijamiiKwanini uwaonee huruma km haikuumi kwani ww ni wakike mpaka uwaonee huruma
Sikulaumu hujaelewa.Haikukusudiwa kwa watu wa kiwango chako cha kufikiri.Pointless poem.
Kwenye huruma hapo ndo shida unajikuta unaitoa tena helaIkikuganda ndio poa unaendelea kuteleza free hadi ikimbie yenyewe.....ila sema muda mwingine huwa zinatia huruma sana