TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
JF ina saidia jamani baada ya kupigwa dongo BAWACHA wamejitokeza.
Watu wengine wanaaaaaaa! Jana hawakupigwa dongo bali walikumbushwa na kuelimishwa na jf.
JF ina saidia jamani baada ya kupigwa dongo BAWACHA wamejitokeza.
Hivi mwenyekiti wa Taifa BAWACHA ni nani?
wanawake na maendeleo - tusonge mbeleee eeee -----