Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.
h heeee, mimi aliyenitukana alikuwa mchumba......
ndoa mpaka leo anaisikia kwa jirani, na jamaa alishammwaga zamaaani
Yani nawadharau kweli wanawake wenye temper za kijinga kihivo,,wanajifanyaga mae-FBI kumbe ni kujidhalilisha tu maana hapo angemuliza huyo mmewe pengine kwa jinsi ambavyo angeexplain angejua kosa ni la huyo mmewe or lako b4 hata hajakupigia....
Aisee ilishanikuta hii..ila yule dada hatakaa asahau!!!
Imagine ni mkaka ambae nlikuwa namfundisha kazi coz n mgeni! Bibie akakuta msg ya:
'naomba kesho unikumbushe,ubarikiwe na siku njema'
bibie ndevu za ulimi zikamuwasha,et bila kuuliza kitu,akaanza et naomba umuache flan ni mpenz wang,na matusi juu. Nikamvutia pumzi,nkamwambia,mbna me n mme wangu,nawe nakujua hawara yake,sie tuna ndoa na mtoto.. Kwao wote nwajua.. Au unataka nkwmbie jana na leo amevaaje?maana ad chup nlimchagulia!!!
Palinuka uko.. Mkaka akaja na samahani kilo mia!! Had kesho mdada hana hamu!!!
Some mademu wana simple minds!! Yan wanakurupuka kama wanakimbizwa usingizini!!

Ukiona mwanamke wa hivyo hajiamini na anamatatizo binafsi. wewe unakurupuka na kuanza kufokea mtu humjui?
Mimi nilipigiwa na kadada kakatoa kashfa wee, kumbe huyo boy friend wake ni binamu yangu, tena mdogo kwelikweli, baada ya kuneana nikakauliza through kakajibu ndio. Nikakatwangia kajamaa kake, wakabebana mkuku kwangu nilipo kaona tu nikakasamehe kanawasiwasi kama kanataka kuruka nikakaonya sidhani kama kamerudia kufanya upuuzi huo kwa mtu!
Nafikiri ni jazba tu na hofu ya kuibiwa. Kosa alilofanya ni kukupigia wewe na kukuwashia moto badala ya kutafuta ukweli. Chukulia mfano, wewe ungekuta meseji ya namna hiyo kwenye simu ya mumeo ungefanya nini?
hahahaaa. Mafiaso akinikuta b4 then?
yaani yameshanikuta mara nyingi tu na wala sijali.'nasafiri karibuni baby' FP. Pole na wewe yaliyokusibu.