Wanawake bwana??!

Wanawake bwana??!

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,179
Reaction score
34,431
Mie bwana, nimejilalia na dogo wangu. Simu inaingia. Namba naifahamu na nimeisevu jina. Ni mwanaume nilikuwa nasoma nae ITA na yeye kikazi yupo TRA HQ. Tangu nimemaliza chuo 2011 mawasiliano na wanafunzi wote yamepungua except mmoja ama wawili, na huyu X si mmoja wao. Nimepokea, anaeongea ni mwanamke. Hamna salamu. Wewe ni nani kwa X? Nikamwambia WTF? Akanijibu kwa ukali, nimekuliza X ni nani wako, manake ameniambia wewe ni nyumba dogo yake. Nikamuuliza woman are you serious. I was very offended. Am a married woman for crying out loud, tena niwe nyumba dogo?? WTF?? Nikamwambia mimi nina mume wangu na mtoto. Haya yote yametokana na nini? Akajibu ooh nimekuta message kwenye draft items ameandika nasafiri karibuni baby. Nikamwambia namheshimu sana huyo kaka. Nimesoma nae na ni mtu mstaarabu sana so siku ingine kabla hujakurupuka get your facts right . Akabaki oooh mi ni mafia nitakufanyizia kuwa mwangalifu. Nikamjibu do your worst. Hivi iweje unakuta message kwenye draft kwenye simu ya mwenzio, unakurupuka tuuu. Ingekuwa inbox nimetuma mimi kweli, ama at least ingekuwa kwenye sent items kweli, draft?? Halafu sina hata regular communication na yeye? Utawapigia wangapi? Kama sio kutafuta kufa na pressure.
 
Huwa tunatibu dalili badala ya ugonjwa. Hata kama ingekuwa kweli, the right person IMO wa kuanza kumswalisha ni mumewe!
Amejiabisha bure.
 
Pole sana kwa usumbufu ulioupata. Wanawake (na hata wanaume) wengine ni "pasua kichwa" sana kwenye uhusiano!
 
Yani nawadharau kweli wanawake wenye temper za kijinga kihivo,,wanajifanyaga mae-FBI kumbe ni kujidhalilisha tu maana hapo angemuliza huyo mmewe pengine kwa jinsi ambavyo angeexplain angejua kosa ni la huyo mmewe or lako b4 hata hajakupigia....
 
Aisee ilishanikuta hii..ila yule dada hatakaa asahau!!!
Imagine ni mkaka ambae nlikuwa namfundisha kazi coz n mgeni! Bibie akakuta msg ya:
'naomba kesho unikumbushe,ubarikiwe na siku njema'
bibie ndevu za ulimi zikamuwasha,et bila kuuliza kitu,akaanza et naomba umuache flan ni mpenz wang,na matusi juu. Nikamvutia pumzi,nkamwambia,mbna me n mme wangu,nawe nakujua hawara yake,sie tuna ndoa na mtoto.. Kwao wote nwajua.. Au unataka nkwmbie jana na leo amevaaje?maana ad chup nlimchagulia!!!
Palinuka uko.. Mkaka akaja na samahani kilo mia!! Had kesho mdada hana hamu!!!
Some mademu wana simple minds!! Yan wanakurupuka kama wanakimbizwa usingizini!!
 
Ukiona mwanamke wa hivyo hajiamini na anamatatizo binafsi. wewe unakurupuka na kuanza kufokea mtu humjui?
Mimi nilipigiwa na kadada kakatoa kashfa wee, kumbe huyo boy friend wake ni binamu yangu, tena mdogo kwelikweli, baada ya kuneana nikakauliza through kakajibu ndio. Nikakatwangia kajamaa kake, wakabebana mkuku kwangu nilipo kaona tu nikakasamehe kanawasiwasi kama kanataka kuruka nikakaonya sidhani kama kamerudia kufanya upuuzi huo kwa mtu!
 
Mie bwana, nimejilalia na dogo wangu. Simu inaingia. Namba naifahamu na nimeisevu jina. Ni mwanaume nilikuwa nasoma nae ITA na yeye kikazi yupo TRA HQ. Tangu nimemaliza chuo 2011 mawasiliano na wanafunzi wote yamepungua except mmoja ama wawili, na huyu X si mmoja wao. Nimepokea, anaeongea ni mwanamke. Hamna salamu. Wewe ni nani kwa X? Nikamwambia WTF? Akanijibu kwa ukali, nimekuliza X ni nani wako, manake ameniambia wewe ni nyumba dogo yake. Nikamuuliza woman are you serious. I was very offended. Am a married woman for crying out loud, tena niwe nyumba dogo?? WTF?? Nikamwambia mimi nina mume wangu na mtoto. Haya yote yametokana na nini? Akajibu ooh nimekuta message kwenye draft items ameandika nasafiri karibuni baby. Nikamwambia namheshimu sana huyo kaka. Nimesoma nae na ni mtu mstaarabu sana so siku ingine kabla hujakurupuka get your facts right . Akabaki oooh mi ni mafia nitakufanyizia kuwa mwangalifu. Nikamjibu do your worst. Hivi iweje unakuta message kwenye draft kwenye simu ya mwenzio, unakurupuka tuuu. Ingekuwa inbox nimetuma mimi kweli, ama at least ingekuwa kwenye sent items kweli, draft?? Halafu sina hata regular communication na yeye? Utawapigia wangapi? Kama sio kutafuta kufa na pressure.

Nafikiri ni jazba tu na hofu ya kuibiwa. Kosa alilofanya ni kukupigia wewe na kukuwashia moto badala ya kutafuta ukweli. Chukulia mfano, wewe ungekuta meseji ya namna hiyo kwenye simu ya mumeo ungefanya nini?
 
Wanawake kwa wanawake hapo nawapendea uzalendo wenu kwenye kushughulikiana katika mambo haya!
 
Nafikiri ni jazba tu na hofu ya kuibiwa. Kosa alilofanya ni kukupigia wewe na kukuwashia moto badala ya kutafuta ukweli. Chukulia mfano, wewe ungekuta meseji ya namna hiyo kwenye simu ya mumeo ungefanya nini?

Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.
 
Nakubaliana na wewe, alipaswa kufanya uchunguzi kwanza. Angeweza kumuuliza mumewe na baadaye kutafuta kama kweli mawasiliano ya kingoni yapo baina ya watu hao wawili.
 
nilishawai kutukanwa na mtu mke wa ndugu yangu wa karibu sana ..acha tu ila cha moto anakiona hadi kesho
 
Mie nangojea ile tarehe tu...:A S 39:

Pole kwa masaibu..!!!
 
Aisee ilishanikuta hii..ila yule dada hatakaa asahau!!!
Imagine ni mkaka ambae nlikuwa namfundisha kazi coz n mgeni! Bibie akakuta msg ya:
'naomba kesho unikumbushe,ubarikiwe na siku njema'
bibie ndevu za ulimi zikamuwasha,et bila kuuliza kitu,akaanza et naomba umuache flan ni mpenz wang,na matusi juu. Nikamvutia pumzi,nkamwambia,mbna me n mme wangu,nawe nakujua hawara yake,sie tuna ndoa na mtoto.. Kwao wote nwajua.. Au unataka nkwmbie jana na leo amevaaje?maana ad chup nlimchagulia!!!
Palinuka uko.. Mkaka akaja na samahani kilo mia!! Had kesho mdada hana hamu!!!
Some mademu wana simple minds!! Yan wanakurupuka kama wanakimbizwa usingizini!!

Nimependa jinsi ulivyompa makavu ili wakati mwingine ajue wa kuulizwa ni mumewe/mpenziwe nadhani baada ya haya majibu alifuata njia stahiki.
 
Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.

Abiria chunga mizigo ya ndani
 
nini huyo alikuta msg kwenye draft?
mimi nilipigiwa sababu tu mtu alikuta namba yangu kwa fonebook....hata kunijua hanijui wala kunisikia hajawahi, lol!
 
nilishawai kutukanwa na mtu mke wa ndugu yangu wa karibu sana ..acha tu ila cha moto anakiona hadi kesho
h heeee, mimi aliyenitukana alikuwa mchumba......
ndoa mpaka leo anaisikia kwa jirani, na jamaa alishammwaga zamaaani
 
Ningemsubiri mume wangu na kumuuliza, au kwa vile sio incriminating kihivyo ningeignore na kufanya upelelezi. Na more likely nisingeikuta kwani sina tabia yakupekua simu za watu.

Simu ya mume wako ni ya watu eeh!!!mmh kazi kwelikweli!!
 
Huwa tunatibu dalili badala ya ugonjwa. Hata kama ingekuwa kweli, the right person IMO wa kuanza kumswalisha ni mumewe!
Amejiabisha bure.

umeona eeeh? Na vitisho juu. Pale alipo anajiona njemba na kuwahadisia mashosti pengine. So sad.
 
Pole sana kwa usumbufu ulioupata. Wanawake (na hata wanaume) wengine ni "pasua kichwa" sana kwenye uhusiano!

asante SMU. Mie bwana siku ingine niliandikaga Happy Birthday Boy kwenye wall ya mtu FB. Eh bwana baadae nakuta message inbox eti nimekuwa nikishuku anaeniibia mume wangu(alikuwa come we stay) na nimekukamata. Matusi kibao. Wakati hata hatupo nchi moja!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Similar Discussions

Back
Top Bottom