Hao ni wa zamani sku hiz akijua tu una ka uhakika kidogo utalengeshewa mimba kwa nguvu utapelekwa kila mahali kuanzia ustawi wa jamii mpaka kwenye social mediaWadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.....sasa inakwenda hivyo mpk mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena....chaajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba....sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?
🤣🤣🤣Hao ni wa zamani sku hiz akijua tu una ka uhakika kidogo utalengeshewa mimba kwa nguvu utapelekwa kila mahali kuanzia ustawi wa jamii mpaka kwenye social media
Wewe unajuaje kama huyo mwanaume anampenda kweli? Kwahiyo huyo dada atakubali wangapi kisa wamemwambia wanampenda?Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.....sasa inakwenda hivyo mpk mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena....chaajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba....sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?
Hivi kumbe kuna watu wanaumia na Mapenzi? 2023AD?Usilazimishe penzi utaumia
Hivi kumbe kuna watu wanaumia na Mapenzi? 2023AD?
Kwenye huo ujinga Me wanitoe asee,Wapo mpaka wanaua
Weee Ndo Watu Waumizane?