Wanawake bila kuongopewa awakubali

Wanawake bila kuongopewa awakubali

mwangahikaji

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
98
Reaction score
35
Ni kwanini wanawake bila kuwaongopea kwenye mausiano awakukubali mpaka uwaongope?
 
mh!!! tabia zao kama zinafanana kama mtoto wa baba mkubwa na mdogo
 
Wengi wao ukiwaambia ukweli ndio huisi unawandanganya na ukiwandanya ndio wanaingia wanakuona wamaana!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sio wote ila walio wengi, ukisema ukweli wanakuona jeuri na usiyejali....basi sawaaa we endelea tu kuwadanganya ili wakuone malaika.
 
Ongea ukweli ujibebe, Lol. La sivyo piga fix uone mtu anavyo jaa kwenye kumi na nane zako... kudadadadeki! Oooh dia, nitainunua Ikulu ya Magogoni nikupe ufugie kuku wa mayai! Kwa jinsi wanavyopenda chipsi mayai/kuku, lazima aingie kingi! Chezea fix!
 
mwanamke wa kuoa huwezi mdanganya ila wa kugegeda na kusepa lazimauongo utumike
 
Back
Top Bottom