Huko si kuzimia aisee, imagine ndo kamuona, thats too much tamaa!
Kama ni mimi, nakugeuzia kiti kabisaa ili muangaliane, mkonyezane nk!
Mi nna yangu tu.. baada ya hapo, kila mtu abebe njia yake kabisaa na tusikutane tena!
usiombe ikutokee
Heshma kwenu..ivi mwanaume umekaa bar na mpenz wako unakata kiroba nae anapga soda..anakuja kidume mwingne anakata serengeti bt kila dakika mchumb wako anatoa jicho kwa mshkaji,kila akicheka anamtizama mshkaji..iv we mwanaume unafanyaje?

najua ndo kinachokutokea right now
kwani lazima amalize soda hiyo konyagi inabebeka
beba muondoke
Kulaleki it means wewe sio type yake
Anamzimia huyo jamaa wa serengeti