Mwanamke wa kuoa ni yule unayempa jibu lolote akakubaliana na jibu lako hata kama ni la uongo. Ila wapo wengine wanakomaa kutafuta majibu halisi utadhani wanasahihisha mtihani wa NECTA na mara nyingi wanaishia kupata stress wasipopewa majibu wanayoyataka.
Sikia maswali ambayo inabidi we mwanake uridhike na jibu lolote
Unataka kunioa au kunichezea? ......Sanasana utaambiwa atakuoa we Kubali ila chochote kinaweza kutokea
Hivi.....
Hao wanawake wa hivyo bado wapo kweli..[emoji15] [emoji15]
Labda unawazungumzia wasichana aiseeee.... sitaki kuamini kama hao unao wasema ni wanawake
Sasa mbona Mada hainamshiko sasa ukishatongoza unataka awe bubu, si anakuliza maswali ambayo mwisho wa cku yatajenga future yenu, acheni kila cku kudiscus wanawake weken Mada zenye mshiko