Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
True hata mimi nimeona jana Mume akitafuta taulo nje kwenye kamba tehe tehekuna jirani yangu bwana nguo zake huwa anafuliwa na mama mmoja hivi anakuja kufua jmosi kuja tena hadi jtano
huyu mama jirani kutoa nguo kwenye kamba ni kazi .kipindi cha jua nguo zinapigwa jua hadi unazionea huruma unatamani hata kuzipa maji ya kunywa.
sasa kipindi hiki cha mvua sasa nguo zinanyeshewa zinakauka zinanyeshewa tena basi taabu tupu .nahisi watakuwa wananuka sana humo ndani. kuna wakati mume akitaka nguo flani unamuona anaifata kwenye kamba jamani. huwa nacheeka kama mazuri.
kuna wanaume ndani wana shida hadi basi.
ni aibu sana eti hadi boxer za mume zinafuliwa na mtu mwingine .zilivochoka sasa?????True hata mimi nimeona jana Mume akitafuta taulo nje kwenye kamba tehe tehe
hajaanua zinanyeshewa naziona hapo njeAmekusikia.... ataanua
sio uchafu bna mi mwenyewe nina kikapu changu natupia humo nafua jpili zoote.sifui chupi zangu na sabuni ya kuogea mieHahaha umenifurahisha hapo kwenye kuzipa nguo maji ya kunywa.
Ila kuna wanawake wachafu jamani,wwngine wanarundika chupi week nzima,anavaa na kutupia kwenye nguo chafu zikiisha kabatini zile chafu ndio zinalowekwa na kufuliwa.
ni aibu sana eti hadi boxer za mume zinafuliwa na mtu mwingine .zilivochoka sasa?????
Uko kwenu pia mvua inanyesha muda huu?hajaanua zinanyeshewa naziona hapo nje
ahahaaa dah kuna wamama sijui majukumu yao humo ndani ni kugegedwa tu ?Kuna mbaba mmoja yeye akikosa nguo anayotaka kuivaa iwe boksa,bukta,nguo yoyote atamuuliza House girl hata mbele ya mkewe
sana mkuuUko kwenu pia mvua inanyesha muda huu?
mtu anababdika makucha ya elf 30 utamshikisha boxer zako?Yaan nguo za mwanaume anafua mtu mwingine wanawake kuweni makin
Vp we uwa urundiki chupi?Hahaha umenifurahisha hapo kwenye kuzipa nguo maji ya kunywa.
Ila kuna wanawake wachafu jamani,wwngine wanarundika chupi week nzima,anavaa na kutupia kwenye nguo chafu zikiisha kabatini zile chafu ndio zinalowekwa na kufuliwa.
Hongeren maana neema imeshuka hiyo. Hata yale mambo yetu yananoga sana ukizingatia leo holidaysana mkuu
unataka ukamfulie?Vp we uwa urundiki chupi?
acha tumjini mna mambo!!!
Nataka niwe namuanulia akizifuaunataka ukamfulie?