Wanawake ambao siwezi kutoka(date) nao hata kwa bunduki

Ni kweli ni mweusi, kwani kuna mwafrika mweupe? Huyo atakua mzungu aliehamia afrika. Kitambi sina kabisa, matege sina, nina hela ambazo sidhani kama kuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nazo. Sihitaji baraka za kitu chochote. Maisha yangu ni matamu sana.

Yani kukataa wanawake wa aina hiyo ndio nikose furaha kwenye maisha? Hahahaa. Short chasis kama wewe na tumbo kubwa kaa mbali na mimi.
Naona hili jiwe litamdungua ipasavyo!
 
🤣🤣🤣🤣🤣mwenye hela hana majibu marefu kama wewe bhanaa...we kubali tuu ni kibushuti kwani shin'ngapi...
 
Back
Top Bottom