Wanawake ambao ni less attractive physically are exceptionally good in bed


uzuri wa mwanamke uko kitandani?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu..au wengine unakuta uso haupo njema lkn ..huku chini sasa..kajaliwa mbaya..!!
 
Kipimo cha mwanamke kuwa less attractive ni nn?



Hapo ni kile tunachokiita Macho yako yameishilia wapi kuona....Ukikiona kibaya mwenzio anakiona kizuriii...Km wewe wapenda domo nene...mwingine anapenda domo dogo ulilolikataa....Km wewe wapenda Wanene mwenzio anapenda Wembamba wanene anawaona wabaya....Ndio hivyo.....
 
Nilivyo kuwa skuli bweni enzi zile watu walikua wakishobokea videm vipya hasa form 1&5 mimi nilikua nawaacha wasaguleeee baadae wale wabaya wote nilikua natangaza tusi ingiliane.Jamani madude yana jua haya! Mkuu LifeHacker i salute u!tena bikra nilikata za kumwaga.
 
Last edited by a moderator:

English please!!

If not conversant with it, don't force issues, stick to your mother tongue.
 
Mwanamke less attractive kwako ni malkia kwa mwingine,usiyempenda wewe kuna jamaa hadi analia akimuona anapita kwa jinsi anavyompenda!

Kumbuka Ben Affleck aliwahi kumkataa Jenifa Lopez tena enzi hizo Lopez bado mile hazikuvuta na alikuwa mrembo mno lkn Affleck akasema wazi kuwa Lopez SIYO MREMBO hadi mm nikashangaa!Hakuna formula duniani inayosema mwanamke akisemwa mbaya na wewe basi ndiyo wote wanaume wakukubalie!
 

Mkuu umenichekesha sana. Hapo ndipo unapoambiwa Mungu hana upendeleo!
 
Mkuu umenichekesha sana. Hapo ndipo unapoambiwa Mungu hana upendeleo!

Mkuu tena haya madude hayana wivu kabisa manake mi dem wa wivu ni tofauti.Ilikua hata mmoja agundue namgegedua mwenzake wala hanuni na nikiomba kakitu napewa tu.
 
Noo bana.....haipo hivyo...mara nyingi demu mkali homoni zake huwa zipo bize tofauti kwa hao mnaowaita less attractive....ni kwa sababu ya kutongozwa mara kwa mara,ofa kutoka kwa wanaume wanaoshindana, tabia ya kuringa kwao na kujiamini kwamba kwa uzuri wao watapeta tu popote waendapo....haya yote yanawaathiri tofauti na hao wenzao.

Hivyo basi kutokana na kuwa much used physically and mentaly, huathiri sana utendaji wao kwa mambo mengine including darasani, in bed na maeneo mengine.

Kwa hiyo usifanye mambo kwa ujumla kwani mwili ni ule ule binti awe mzuri au sio mzuri.....wapo wadada warembo/wazuri wenye uwezo kwenye maeneo hayo ya darasani, in bed n.k. na wapo wasio wazuri kisura na kiutendaji darasani, in bed n.k.
 
Mkuu tena haya madude hayana wivu kabisa manake mi dem wa wivu ni tofauti.Ilikua hata mmoja agundue namgegedua mwenzake wala hanuni na nikiomba kakitu napewa tu.

Halafu wanapenda kutoka moyoni kabisa! Hata ukija kuoa hana shida na mke wako kabisa tena anakuwa rafiki yake mzuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…